Mke wangu kabadilika kimuonekano

Mke wangu kabadilika kimuonekano

Anza nae diet na mazoezi! Kupungua kunahitaji support. Jiungeni gym mud mnaenda pamoja. Use kama coach wake. Wanawake no rahisi sana kunenepa wakizaa
 
Nashangaa wengi mnamponda mleta mada kiukweli unene unakera mtake msitake hata kufanya yale mambo mlokua mkifanya mwanzo hamuwezi tena ... Hapo lazima ndoa iingie dosari mke atakwambia amechoka mara kwa mara ... Dawa kaa nae mwambie mke wangu bd na kupenda ila jaribu kubadili huu muonekano wako kwa ajili ya afya yako na mengineyo...
 
Si umemzalisha ulitegemea abaki vile vile apo utataka ushauri uambiwe mwache, uyo ni mkeo uliyefunga nae ndoa vumilia tu acha hzo tamaa

Kuzaa siyo sababu ya kuharibu shape.

Kina mama wengi wanahitaji kubadilisha huo mtazamo wao.


Diet management vs physical activities ndiyo suluhisho.


Wapunguze uvivu.
 
Ulioa shape sasa imeisha na unataka na ndoa iishe,hayo ndo matatizo ya kuoa kwa sababu ambazo ni za kupita...ungekua unampenda wala hiyo shepu isingekua tatizo...na uhakika njia ya uzazi wa mpango anayotumia( ili kukupa raha wewe nafikiri unajua hilo ili akupe unyumba all the tym) ndio inayomharibu sasa jua the sacrifice she is making for u,uthamini hilo!
Wanawake wengi ni wahanga wa hizi njia za uzaz wa mpango wananenepa unene usiosikia diet wala mazoez sabab homon zao zimeshakua disturbed,madaktar weng hawakubali kwa uwaz kuhus hilo sabab hawataki watu waache kuzitumia kwa hiyo muhurumie mkeo sio kwamba anapenda kunenepa ovyo!
 
Haaaaahaaaa! Hembu na wewe jichunguze mkuu, kwa kipindi tangu uwe nae hujabadilika? Umri ukiongezeka watu wanabadilika! Mzoee tu ndio mkeo.
 
mpeleke gym..
muanze wote
kuwa na hamu ya vischana potabo au sifia sifia vipotabo ovyo
msaidie diet
mpandishe daladala mnyanganye gari
asipokonda ameridhika
 
Na wanawake acheni kujiachia mana nafikir katika uchumba mwanaume mwingine anakuambia ninapenda mwanamke potable pengine huyo mwanamke kabla ya hapo ulikua potable, sasa acheni kujiachia Ata kama ndio ashakuoa , kula kidogo fanya zoez mwingine anakula sahan mbili akidai nanyonyesha mumewe atakuhama mana tumbo linakua Hilo had unapoteza mvuto, pia wanaume kuwen wawaz kwa wake zenu kua napenda umentain shape yako na muonekano wako
Nyie mkijiachia na matambi yenu tunawavumilia tu, ila sie mnatushikia mabango!! Khaaah!!
 
Vumilia kaka hizo ndo shida na raha zenye za ndoa tena hakikisha upunguzi upendo hata tone maana kwa kufanya ivo unamukosea Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom