jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,092
- 35,901
Hili povu hili..hata omo ikasome..pole sana hela za mwanaume unataka ila mtoto wake hutaki acha roho mbaya...Kwanini uni force kulea mtoto ambaye sijamubeba tumboni kwangu na kufanya iwe lazima as if Mimi niliwatuma mfanye hicho kitendo?
Be responsible for your actions na sio kusingizia uumbaji wa Mungu blah blah mara hana kosa sijui nini kwanini usiongee na uliyezaa naye myajenge na kulea mwanenu vizuri kuliko kunitwisha mzigo usio ni husu tena una force na roho mbaya
Nyie mnaozaa watoto bila plan ndio mna roho mbaya na ubinafsi na huwa mnatesa watoto kwA ubinafsi wenu acheni kusingizia wanawake ambao hawakumubeba huyo mtoto.
Yani nyie mzae kwa Raha zenu, mshindwane then uje kwangu uni force nimulee mtoto wako kinguvu na kumpenda nikiwa busy tayari ni na roho mbaya si ndio?
Jamani tuache kukwepa lawama na kushushia wengine uzembe wetu tuwe responsible kwa Matokeo ya choice na starehe zetu za maisha I'm sure kungekuwa na court ya kumshtaki wanaozaa hovyo na kuleta watoto na kupelekwa watoto nyie wazazi mnaozaa hivo mngetakiwe mnyongwe kabisa
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app