Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Kwanini uni force kulea mtoto ambaye sijamubeba tumboni kwangu na kufanya iwe lazima as if Mimi niliwatuma mfanye hicho kitendo?
Be responsible for your actions na sio kusingizia uumbaji wa Mungu blah blah mara hana kosa sijui nini kwanini usiongee na uliyezaa naye myajenge na kulea mwanenu vizuri kuliko kunitwisha mzigo usio ni husu tena una force na roho mbaya
Nyie mnaozaa watoto bila plan ndio mna roho mbaya na ubinafsi na huwa mnatesa watoto kwA ubinafsi wenu acheni kusingizia wanawake ambao hawakumubeba huyo mtoto.
Yani nyie mzae kwa Raha zenu, mshindwane then uje kwangu uni force nimulee mtoto wako kinguvu na kumpenda nikiwa busy tayari ni na roho mbaya si ndio?
Jamani tuache kukwepa lawama na kushushia wengine uzembe wetu tuwe responsible kwa Matokeo ya choice na starehe zetu za maisha I'm sure kungekuwa na court ya kumshtaki wanaozaa hovyo na kuleta watoto na kupelekwa watoto nyie wazazi mnaozaa hivo mngetakiwe mnyongwe kabisa
Hili povu hili..hata omo ikasome..pole sana hela za mwanaume unataka ila mtoto wake hutaki acha roho mbaya...

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio una roho ngumu nilikutuma ukatombe hovyo then uniletee mwanao nilee why starehe zako zitese wengine, Yani kulea watoto wasio kuhusu Mimi ni ophanage centre huo mda wa kulea heri nitafte hela kwa bidii nijipe furaha na vacation sehemu kubwa ka Hawaii, Maldives na kwingineko sio kujitia mama huruma never. Jifunzeni kuwe responsible na matendo yenu tena nyie ndio mnaozaa majambazi na chokoraa maana mnashindwa kulea watoto kazi yenu ni kufunua tu chupi
mbavu zangu mie.
 
Aisee hi ni roho mbaya, huyo mkeo anaroho mbaya Sana... Ukute hata ndugu wakija kutembea atawanyima chakula, hiyo no roho ya kimasikini huyo mke hafai.

Ningekua Mimi yaani ni Bora nisijue, lakini amfanyie roho mbaya mbele ya macho yangu... Kwanza namuwasha makofi alafu namtimua, akileta za kuleta nampasua kabisa pumbaav, huu ujinga siwezi kuuvumilia.
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Fukuza huyo chatu hapo ndani...mke sio nduguyo watoto ndio nduguzo hata kama kakuzalia watoto mia lakini kukuacha na kwenda kuolewa na kukutenda ni kitu kidogo sana. Mimi nina watoto wawili nikasema ngoja nikuze kwanza kids wangu ndio niingize balaa ndani. Hata hivyo nawaza kuongeza watoto tu kuliko kufuga mtoto wa mwanaume mwenzangu. Ukicheza nae atampa sumu.
 
Mtasema yote lakin mtoto pia ana haki ya kuishi Na baba yake,hamuwezi inabidi mtafute wanaume ambao hawana mtoto kabisa,lakin unaenda kuwa Na mtu unajua ana watoto!! mtoto anabana nini acheni uchoyo leeni watoto
True African women..acha na hao makahaba wa mjini..wasio jua thamani ya watoto..chakushangaza hela ya wanaume wenye watoto yanazikodolea mimacho..mi jambazi ilo shindikana hiyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine tunawapenda tu hatuna shida nao kabisa
Mi napenda watoto wewe wangu wasiwe wangu nalea tu
Tatizo lipo kwa tabia za watoto kama wanatabia nzur na mumeo akashirikiana nawew vzr katika kuwaongoza hao watt mbona hakuna mbaya. Ila wengine asili yao tu roho mbaya hivyo tusishangae
 
Tena siku wanakamsemo akuonyeshe kaburi lake lasivyo mtoto apelekwe kwa Bibi yake
Unadhan sasa hivi wanasema msemo huo zaid yakuanza kuwataka kimapenzi nakutembea nao kama niwakike watawaingilia kinyume na maumbile nayote sabb yachuki zao
 
Tena siku wanakamsemo akuonyeshe kaburi lake lasivyo mtoto apelekwe kwa Bibi yake
Wanaweke inakuwaje una lazimisha mwanao alelewe na baba mwingine wakati Baba yake yupo hai na ana chapa kaz tena husikute baba mtoto ana uwezo wa kiuchumi kmzidi baba wakambo
 
Kama angempenda kama mwanae ndiyo ingekuwa habari ila kwa sasa kinachotokea ndiyo uhalisia wa mambo.

Watoto wa kambo wenyewe wanajazwa chuki na uhasama kwa Mama zao wa kufikia.
 
Kama mama yake yuko hai na hajaolewa kwingine tafadhari mpeleke mtoto kwa mama yake,utakachofanya ni kupeleka fedha ya matunzo ili mtoto naya awe na amani.
Uchungu wa Mwana anaujua Mama,Mama wa Kambo si mama!
 
Unadhan sasa hivi wanasema msemo huo zaid yakuanza kuwataka kimapenzi nakutembea nao kama niwakike watawaingilia kinyume na maumbile nayote sabb yachuki zao
Hapo ndipo shetani huwa anasimama pembeni nakutoa macho kwa mshangao mkubwa.
 
Wanaweke inakuwaje una lazimisha mwanao alelewe na baba mwingine wakati Baba yake yupo hai na ana chapa kaz tena husikute baba mtoto ana uwezo wa kiuchumi kmzidi baba wakambo
Anayelazimisha nani sasa hapo?
 
Kama angempenda kama mwanae ndiyo ingekuwa habari ila kwa sasa kinachotokea ndiyo uhalisia wa mambo.

Watoto wa kambo wenyewe wanajazwa chuki na uhasama kwa Mama zao wa kufikia.
Hicho ndio kitu kinawapelekea kuogopa watt wamekuwa waongo na Tabia za ajabu wakipewa fursa wakaonane na mama zao wazaz wanakuja na tabia nyingin mbovu mwisho wa yote nikimuharib mtoto akili
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Mwanamke ambaye anaweza kuchukia wazazi wako walio kuzaa kweli unafikiri anaweza kumpenda mtoto uliyezaa nje ya ndoa? wewe una shida kabisa....wewe utakuwa uongelei wanawake wewe hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom