Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Hehehehe!

We jamaa huko ulaya labda awe anaenda kuajiriwa kwenye kazi ofisini, ila hizi za kubangaiza hehehe anaenda kula tabu huyu na I am 100% sure ndani ya mwaka unapigiwa tu freeeesh! Tena na mtoni panavyokuaga lonely.

Embu niulize, hivi kweli siku hizi kuna watu bado wana mawazo kwenda ulaya ndio kutoka kimaisha?

Dah! Hehehehe eti "uzuri sio mimi tu sitaki, hata yeye hataki kwenda" nimecheka sana hio statement!
 
Demu kamdanganya kwa jamaa eti atamtumia ticket sijui akifika akakuta demu ni changu anampa fursa ya kuwa bwabwa ili wapanue kipato atakataa?
 
Hilo linawezekana kabisa, wapo kwenye dunia mbili tofauti mume dunia ya majonzi ya kuondokewa na mkewe, na mke furaha ya kwenda majuu.

Halafu ukute wife ana furaha zote!
Laiti moyo ungewekwa usoni,yaliyomo yakawa dhahiri kwa watutazamao!!!
 
Hilo linawezekana kabisa, wapo kwenye dunia mbili tofauti mume dunia ya majonzi ya kuondokewa na mkewe, na mke furaha ya kwenda majuu.

Furaha ya kula bata
 
Nipe jina lake ili niweze kujitambulisha kwake na kumpatia Welcome Guide pamoja brochure ya orientation.....

Koh koh koh koh atamkumbuka kwelii mmewe?? Huyu jamaa hana sauti kwa mkewe
 
Usifikiri I am fool to that extent,do you know what she is going to do there?do you know when she will be back,kuna mambo Mengi nimeyaweka Sawa tayari nami ntamjoin as soon as possible co ndugu zangu tayari wako huko zamani sana,infanct some of them wanafanya the same activities na yeye Alizofata huko

nimejibu kufuatana na post yako... hayo mengine kama hujaweka shauri yako

let me tell you something... we always think we are smart untill we get whopped!!!

uje kwenye hii thread after 12 months utupe mrejesho

wengi walikua kama wewe, wakajiona wanajua... badae wakakubali matokeo
 
Nchi gani mkuu tufahamishane ili tujue jinsi ya kufanya mapema.
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii
Aje huku Shemeji yetu Ughaibuni Tunamsubiri kwa hamu anakuja nchi gani vile? Mkuu embojo
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii
Kukuvuta wewe sahau kwani huko mpk aje arekebishe makaratasi atatumika saaaana. Anaweza kukuvuta ila utamkuta na watoto si chini ya watatu kwa baba tofauti.
 
asilimia 99 ni kwamba mna mtihani mkubwa sana... maana umeiweka kama vile anenda kutafuta akipata atakuvuta

kwa taarifa yako tu, ughaibuni is no longer a safe heaven for immigrants.... ni shida tu ukiondoa shopping na infrastructure

sanasana atawekwa ndani kimyakimya wakati anakuandalia makazi, baada ya muda atazoea, atakusahau na atakupotezea... wewe utakua better back home, utasahau utaendelea... labda kimuakie saaana ndio arudi kalini it will never be the same

Ndoa ni zaidi ya kutafuta maisha... and when you trade it at any cost in the name ya kutafuta maisha, ujue unakaribisha kutafuta maisha kuovertake ndoa in priority

Huwa unapokeaga zawadi? Aisee nataka nikutafutie moja..Mungu akubariki!
 
Hehehehe!

We jamaa huko ulaya labda awe anaenda kuajiriwa kwenye kazi ofisini, ila hizi za kubangaiza hehehe anaenda kula tabu huyu na I am 100% sure ndani ya mwaka unapigiwa tu freeeesh! Tena na mtoni panavyokuaga lonely.

Embu niulize, hivi kweli siku hizi kuna watu bado wana mawazo kwenda ulaya ndio kutoka kimaisha?

Dah! Hehehehe eti "uzuri sio mimi tu sitaki, hata yeye hataki kwenda" nimecheka sana hio statement!

Da mdau msaidie yaani tunapishana wenzio tunatoka huko na tunajilaumu kwa nini tulichelewa kurudi yeye ndio kwaanza anenda kufanya yale tuliokua tunafanya baada kumaliza form six, maisha hayajaribiwi kwenye umri wa ndoa maana muda wa kucorrect hizo mistake tayari watakua wazee, kama anaenda ameajiliwa anaenda kwa office hapo ok kama kwenda kutafuta ile mikazi yetu ambayo sasa tunaita box mzeee imekula kwake, na hilo ndio litakua kosa number moja kwenye maisha yake
 
kama namuona shem anagonga mvinyo na jibabu la kidhungu pale kitcut corner

hahahahahhh!!!! tabia ya mtu ni kama ngozi. kama ana tabia za ajabu hata akibaki mavumbini anaweza kufanya yake. mie nampa hongera huyu mwanaume kwa kuelewa maisha ni nini na kumuamini mkewe. kuna sist wangu mmoja ilibd tu avue pete. kapata zali nje kampuni ya maana halafu mume hataki kumruhusu. akiangalia mawifi kila kukicha wanamwandama. nani aachie hilo lifursa!!!!
 
Usifikiri I am fool to that extent,do you know what she is going to do there?do you know when she will be back,kuna mambo Mengi nimeyaweka Sawa tayari nami ntamjoin as soon as possible co ndugu zangu tayari wako huko zamani sana,infanct some of them wanafanya the same activities na yeye Alizofata huko
Kwa hiyo thread yako ina mafumbo?i imean umeileta nusu nusu. Sasa kama ndugu zako wapo huko kwa nini wasikuvute wao ungoje hadi mke wako aende atafute maisha ili akuvute?
Dont try to fool us... Hapo mke huna tena.. Tunakuambia hivi tunayajua maisha ya Ulaya.
 
Back
Top Bottom