Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii

Kwani ulipokuwa unabinuka na mkeo ulikuja kutupa taarifa au kutuomba kibali?
 
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Kaniel
 
Mwite majina ya mababu zako kama ni wakiume au mabibi zake kama ni wakike
Sasa unamuuita Mara yuda Mara sijui nani hayo majina yanafaida gani kwako zaidi tuu unauwa koo yenu
Rudi nyumbani kumenoga!
Umewaza nilichotaka kumwambia, safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom