Muite sieijii.Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Wa kwanza ni msichanawa kwanza ulimwita nani?
Namuombea ajifungue salama, hayo mengine ni madogo sana,Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
atakwambia majina ya kiafrika haya sound. ati anatafuta jina zuri jina zuri ni lipi?Mwite majina ya mababu zako kama ni wakiume au mabibi zake kama ni wakike
Sasa unamuuita Mara yuda Mara sijui nani hayo majina yanafaida gani kwako zaidi tuu unauwa koo yenu
Rudi nyumbani kumenoga!
Hahaa langu ni Tunzo na sio Tuzo, kuna tofauti kubwa hapo, Tunzo ina maana ya Gift na Tuzo ni Award.hahaha basi nitamwita Tunzo point
Jina zuri nilile linalo itangaza asili yakoatakwambia majina ya kiafrika haya sound. ati anatafuta jina zuri jina zuri ni lipi?
kinoamiguu hata mbwa tukitaka wawe wakali huwa tunawaita majina ya wanyama wakali mfano simba , Tiger ,au cheetah habari gani kwa binadamuatakwambia majina ya kiafrika haya sound. ati anatafuta jina zuri jina zuri ni lipi?
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Muite majina yetu tuu ya kiswahili kama vileMambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Nilimpa Abigael...sikupata shida mkuu...nilichagua hilo na baba yake akaridhia.jina alimpa nani na wewe hukupata shida kumtafutia jina kama hivi?
Hii ni nini mkuu? HahahahahahMuite majina yetu tuu ya kiswahili kama vile
Matata
Matokeo
Mkomao
Mkunyenye
Mkundule