Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Sijamaliza kusoma Nyuzi zote, naomba Mungu amsaidie Shemela wetu ajifungue salama.

Mtoto akizaliwa mpe jina la JIWE ama MSHANA Sr...
amini mungu ajalie ila nasikia mshana ni gwiji wa mambo humu me natka awe Good boy
 
Kabisa mnakuja kuomba majina humu!!!.. huwa nawashangaa.. hivi ukipewa jina na labda mtu anakutumia mabalaaaa kwa kumtia majanga mwanao au familia yako.. utamlaumu nani?

Unauwezo wa kuingia mtandaoni.. jiongeze usechi majina na maana zake.. utapata mengi tu na kuchagua unalotaka.

Kila la kheri
 
Jaring kwanza kuongea na wazee wako wakutajie majina kisha uchague unaloona linafaa kwa huyo kijana ajae
 
Sijamaliza kusoma Nyuzi zote, naomba Mungu amsaidie Shemela wetu ajifungue salama.

Mtoto akizaliwa mpe jina la JIWE ama MSHANA Sr...
amini mungu ajalie ila nasikia mshana ni gwiji wa mambo humu me natka awe Good boy
 
Kabisa mnakuja kuomba majina humu!!!.. huwa nawashangaa.. hivi ukipewa jina na labda mtu anakutumia mabalaaaa kwa kumtia majanga mwanao au familia yako.. utamlaumu nani?

Unauwezo wa kuingia mtandaoni.. jiongeze usechi majina na maana zake.. utapata mengi tu na kuchagua unalotaka.

Kila la kheri
Ahsante kwa ushauri
cocochanel
 
Mtoto: Baba ulitoa wapi jina langu?
Baba: Niliuliza JF

Hakuna ujinga zaidi ya huu.

Acheni ulimbukeni wakuita watoto majina yakigeni, wazungu/waarabu/wachina/wahindi hawajawahi na hawawezi katu kuita watoto wao majina yasiyo ya asili yao. Waafrika sijui nani alituroga
 
Kila mtoto uja na baraka zake toka kwa Mungu. Mungu pekee ndio awezaye kutoa jina bora sana. Nakushauri piga goti na muombe Mungu akupatie jina la Mwanao mtarajiwa.

Hongera sana kwa hatua uliyofikia, kila la kheri.

Mungu ndo anakataza waafrika kuita watoto wao majina yakiafrika na kuwapa majina ya kigeni huku hataki wageni wawape watoto wao majina yakiafrika?
 
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Muite Omar Al Bashir
 
Mwite Kristouforo-Kristo Amani
Kristosaa- Kristo ni Mwanga
Ndesanburo-Nilitangulizea
Aikeli -asante Mungu
Elisante - Mungu asante.
Rumishaeli - Tumsifu /msifu Mungu
Eliatosha - Mungu atosha
Eliamani - Mungu amani
Elimwokozi-Mungu mwokozi
Elingitanamsu
Ngyianaruwa-Namtukuza Mungu
Elichilia
Elingyiikania
Sanyiely
Williaely
Anasely
Elisonguo - Mungu tangulia
Rumishaely Mtukuze Mungu

Tafuta moja hapo mkuu
 
Mimi nashauri umwite jina lolote ispokua John chondechonde usimpe mtoto hili jina....lingine hutakiwi kumwita mwanao ni Tulia usithubutu.....halafu ndugai usimwite mwanao hivi
Ibrahim, mwita, Edward,lema, nadhani yatafaa Sana!!
 
Ibrahim, mwita, Edward,lema, nadhani yatafaa Sana!!
Mwita waitara??? mzee wa billon 43+ billion 18 =billion 1 .........

Hapana akimwita hilo jina mtoto atakua kamongo zaidi ya makamongo wa awamu ya tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom