Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Jamani ... Kama ni mkristo siku hizi wanashauri unaangalia majina yaliyopo kwenye kalenda ya watakatifu wanaopatikana katika siku aliyozaliwa mtoto then unayatafutia maana yale.... Hii ya kuomba jina kidogo inakuwa na ukakasi hivi....
Mkuu labda ni Msababato Masalia atafanyaje? maana wao huwa hawaamini ktk mambo ya Watakatifu.
 
Sikushauri sana kutafuta majina mitandaoni ni vizuri majina ya watoto wako ukayatoa kwenye Biblia.

Mimi nina Daniel na Maria,Daniel kwa sababu alifanya kazi ya Mungu kishujaa bila kusita sita na Maria kwa sababu alimleta Mkombozi duniani pia kwa imani yangu {Catholic} alizaliwa siku ya pili ya mwezi Mtakatifu wa Maria{October}

Hizi tabia za kuita watoto majina sijui Bryan au sijui brayton au Morin au Melinda huku hujui hayo majina yaliakisi nini ktk maisha ya hao watu ni hatari sana.pia nakupongeza kwa kukataa majina ya kurithi.
 
Sikushauri sana kutafuta majina mitandaoni ni vizuri majina ya watoto wako ukayatoa kwenye Biblia.

Mimi nina Daniel na Maria,Daniel kwa sababu alifanya kazi ya Mungu kishujaa bila kusita sita na Maria kwa sababu alimleta Mkombozi duniani pia kwa imani yangu {Catholic} alizaliwa siku ya pili ya mwezi Mtakatifu wa Maria.

Hizi tabia za kuita watoto majina sijui Bryan qu sijui brayton au Morin au Melinda huku hujui hayo majina yaliakisi nini ktk maisha ya hao watu ni hatari sana.pia nakupongeza kwa kukataa majina ya kurithi.
Ahsante mwanajamii majina ya kurithisha hapana nilishayakataa kitambo na mke wangu. vipi makuzi yao yapoje hao wa kwako maria &Daniel
 
...ingawa wakati una'sweat', kumtafuta huyo mwanetu haukutushirikisha(just utani tu) mwite collin kama haliko kwenye calendar mwite julius, au benjamini, au...!
 
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Job
Paul
John
 
Back
Top Bottom