Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii

Siwangu Mapico
 
Cheza mbali na majina ya John, Pombe, bashite, kufuli, kabugi, kajaliwa, sir mia, ndugai, nchemba, pole pole etc
sawa mwana jamii ushauri umezingatiwa
 
mwanajamii nimekuwa na ndugu zangu ambao wamerithi hayo majina Dah wengi ni shida sana hawaambiliki

Mkataa kwao mtumwa tu! ...Hata hayo majina unayotaka wapo ambao wanayo na wao ni shida sana hawaambiliki pia.
 
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Yohana
 
Usipate shida chagua jina mojawapo kati ya majina ya Mkuu wa kaya. Hutojuta
 
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
Pima DNA Kwanza mkuu
 
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name...... karibuni wanajamii
Jonathan,Kyle,Kendrick
 
Sijamaliza kusoma Nyuzi zote, naomba Mungu amsaidie Shemela wetu ajifungue salama.

Mtoto akizaliwa mpe jina la JIWE ama MSHANA Sr...
 
Back
Top Bottom