Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
556
1,270
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
 
Hili jina zuri sana! Labda angemuita Iskarioti, Pharao au Nebukadreza!!!

Joking young man, choose the one of yo interest, other matters sio za kushautiwa mtandaoni!
Jamani ... Kama ni mkristo siku hizi wanashauri unaangalia majina yaliyopo kwenye kalenda ya watakatifu wanaopatikana katika siku aliyozaliwa mtoto then unayatafutia maana yale.... Hii ya kuomba jina kidogo inakuwa na ukakasi hivi....
 
Mwite majina ya mababu zako kama ni wakiume au mabibi zake kama ni wakike
Sasa unamuuita Mara yuda Mara sijui nani hayo majina yanafaida gani kwako zaidi tuu unauwa koo yenu
Rudi nyumbani kumenoga!
mwanajamii nimekuwa na ndugu zangu ambao wamerithi hayo majina Dah wengi ni shida sana hawaambiliki
 
mwanajamii nimekuwa na ndugu zangu ambao wamerithi hayo majina Dah wengi ni shida sana hawaambiliki
Kwahiyo unadhani wazee wako wazamani walikuwa wasumbufu sana
Je? hayo majina yawatu unayo yapenda unaona nisawa unasahau asili yako unafuata asili isiyo yako!
 
Geofrey, Gregory, gaspar, Humphrey,
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke wangu au kwangu mimi .naomba mnisaidie jina gani zuri zuri litamfanya awe mtoto wa kipekee upande wa Dini ni mkristo pendekeza the best name......
karibuni wanajamii
 
kuna
Mimi nashauri umwite jina lolote ispokua John chondechonde usimpe mtoto hili jina....lingine hutakiwi kumwita mwanao ni Tulia usithubutu.....halafu ndugai usimwite mwanao hivi
hahahaha John , Tulia, ndugai , wote hawa ni watu wenye nyadhifa kubwa serikalini mwanajamii napenda John but ukoo wetu wapo wengi sana wakina J
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom