yakobo11
JF-Expert Member
- Aug 10, 2016
- 510
- 739
Tafadhali, ili usonge mbele inakubidi uwe na maamuzi magumu Kaka, huyo mkeo atakuwa anamahusiano na huyo mwanaume muda mrefu .
Pia ni kwamba mwanamke akishamvulia chupi mwanaume mwingine nje ya ndoa au mahusiano yenu , ujue huyo tena siyo wako tena na mwisho wake ni kuuana