Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mnunulie hii kitu ata acha kabisa hiyo tabia.

rainbow-dildo-pride-silicone-dildo-suction-cup-balls.png
 
Usimpige mwanamke....haina maana, ukimshindwa ujue hskuwa wako wa kuzikana, mwache aende, ilimradi umejaribu kwa hekima akakaidi...wanaume wanakufa haraka sababu ya kushindwa kuhimili vituko vya wanawake baadhi...weww ndo kichwa Fanya kama kichwa...
 
Hiyo hela aliyokopa alifanyia nini? aliwahi kukuomba hela ukamnyima?
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Hapaa mhh, hukumkagua mkuu, iliyochakachuka inajulikana
 
Katika mahusiano/ndoa ukishaona mtu kitu kidogo tu anaanza "basi tuachane" mpaka hapo mapenzi hakuna tena anasukuma siku tu pamoja nawe. Mi nadhani umefanya vyema kumwambia achukue vyake aende,mwache aendeeee!!
Tena barabaran ukikutana nae apite kushoto we kulia
 
Af kuna mtu leo leo yupo kwenye send off, like "im so exited to get married to my soulmate."
Angejua anasherehekea ugonjwa wa moyo...
 
Mkuu ndani ya ndoa kuna watoto? Au ni wewe tu na yeye? Kama ameshakuzalia watoto mpe uhuru ubaki na amani ya moyo, ikiwa hamna watoto hio ni nafasi nzuri ya kutafta wakuanzisha nae familia ambayo haitkuwa changmoto baadae, yakuchanganya jumoisha na yakwako mkuu
 
Hizi ndoa za siku hizi jamani!!!!
Nahisi kuna mahali umelega kama mwanaume maana mke anpata wapi ujasiri wa kukujibu hivyo mumewe seriously!! Achilia mbali hiyo mikopo ya kutokuafikiana!!!
Something is wrong somewhere. Mkeo hakutii mkuu.
Uzuri ameshamluhusu aondoke.

Sikubali akakope hata kwa shoga ake mana najua kifuatacho tu
 
Women women unajua nini mkuu, usihangaikie na mwanamke asio na muda na wewe, kwani mkuu akikuacha utakufa au hutapata mwingine? Sometime kuna haja ya kutobembeleza mtu eti unalia kabisa na moyo unauuma kabisa aisehhh hapana.... Mimi napenda sana ila huwa ni mzuri sana kuangalia response kama mtu unahangaika kwajili yake usifosi mkuu achana naye, let her go where she wishes to be... Huko ndiyo kwenye furaha yake, yupo ambaye anaitafuta furaha yako pia
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
Safi mkuu.... Hongera kwa kuchagua maisha ya furaha maana hupendi kukwazika na ujinga.... Una akili sana
 
Hiyo pesa ya kulipa sharti kwa kukutana na mdai ni kwamba alilipa kwa cheque; au ?!

Yaani kuna watu wengine wallah mtaingia peponi baada ya Mungu kujishitukia kwamba hakuwatendea haki wakati anawapa hiyo mioyo. Hili kuwapoza, itabidi tu awapeleke Eden manake it's not fair alichowafanyia!
 
Mwanamke ukimsifia sana atakusumbua acha vitu vingine viwe kama vingine
Binafsi sina japo punje ya hiyana kumsifia mwanamke wangu na hata kumuonesha nampenda! Kwamba eti mwanamke usioneshe unampenda, for me is bullshit!

Sasa ngoja a-take it for granted!! Atabaki akijiuliza mara mbili mbili ikiwa huyu ndo yule yule au amerogwa!!

I believe in maumivu makali ya muda mfupi kuliko maumivu kiduchu duchu unayodumu nayo miaka nenda rudi!
 
Usijichanganye umpe vitu kienyeji, hakikisha unaandikishana nae hata polisi au kwa mjumbe
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
Huo "uzima wa milele" naomba litoke kwenye maandiko tafadhali
 
Umetowa maelezo machache sana mkuu ndoa ni taasisi iliyojaa vurugu za kila aina pamoja na raha humohumo,haiingii akilini mwanamke akope hela bila makubalino ya ndani,kwa kipengere hicho tu inaonyesha ni kwa namna gani hamna maelewano before all.
 
Back
Top Bottom