Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Mkuu bado unapiga wanawake unatoka mkoa ganiHii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Mkuu bado unapiga wanawake unatoka mkoa ganiHii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Nini ngoma hata 3...yan ukiwa na mchepuko ata m1 mkeo anajua, kunyamaza kwake au akikuuliza ukimdanganya akikaa kimya haimaanish kuwa haelewi..huwa tunajua vzur tu ....ndo vile wengne atakukipizia, mwngine atakupotezea....msiwe mnawachukulia juu juu tu wake zenu..Mkuu__Unajua__Bahat mBaya_Waliyokuwa nayo_Hawa Viumbe Wenzetu__Wakishaanza kuwa na mazingira ya nje huwaga sio rahis kuficha hisia zao__Yaan Lazima utajuaa tu__Tofaut na Mwanaume unaweza ukawa na NGOMA hata 3 lakin MKEO asishtuke
(kwa wale MABINGW Wakuchepuka)
So kwa hapo jipange MZEE mana imeshaanza leta shida__Jaribu kuongea nae kwa KINA bila kushirikisha mtu MUWE WAWILI TU__kisha umpe time kidogo__Utakapoona MJADILIANO yenu hajazaa matunda__BAAS ndugu yangu_NJOO KIWANGWA huku nikupatie kabint kakuoa ili usogezege siku.....
MWANAMKE HATULIZWI MPAKA ATULIE...so usilazimishe moja iwe mbili ukiona majadiliano yenu hayajazaa MATUNDA
Sent from my GT-I9300I using JamiiForums mobile app
Na mwanamke akicheat c rahisi kujua miaka na miaka...ukiona umejua bas ameamua tu kukuumiza ...labda uwe mjanja snMkuu__Unajua__Bahat mBaya_Waliyokuwa nayo_Hawa Viumbe Wenzetu__Wakishaanza kuwa na mazingira ya nje huwaga sio rahis kuficha hisia zao__Yaan Lazima utajuaa tu__Tofaut na Mwanaume unaweza ukawa na NGOMA hata 3 lakin MKEO asishtuke
(kwa wale MABINGW Wakuchepuka)
So kwa hapo jipange MZEE mana imeshaanza leta shida__Jaribu kuongea nae kwa KINA bila kushirikisha mtu MUWE WAWILI TU__kisha umpe time kidogo__Utakapoona MJADILIANO yenu hajazaa matunda__BAAS ndugu yangu_NJOO KIWANGWA huku nikupatie kabint kakuoa ili usogezege siku.....
MWANAMKE HATULIZWI MPAKA ATULIE...so usilazimishe moja iwe mbili ukiona majadiliano yenu hayajazaa MATUNDA
Sent from my GT-I9300I using JamiiForums mobile app
Kwa fikra zangu, hapa hutapata jibu zuri, la maana kaa na mkeo mtafute ufumbuzi, kama ni mke wa ndoa kuna taratibu za kufuata, huyo ni mkeo, kama wewe ndie mwenye kosa atakwambiaPole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu
Kama unaweza njoo pm
Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
What a beautiful comment!!.... Nimejikuta natabasamu....!!! Umeongea ukweli 1000%Mleta mada majibu yote unayo tatizo ni kuwa bado unampenda. Umekwenda kazini ukijutia kwanini ulimwambia achukue vitu vyake na aondoke. Hasira kubwa ni kuwa mwanamke hakukuomba msamaha lakini unafahamu fika kuwa mzigo jana uliliwa.
Kweli kabisaAmwache asepe asije mletea magonjwa bure!!
Kweli tupu, mimi bnafsi ningemtumia na nauli ya kuondokea na hela ya kula njianiMke wa mtu huwezi kukopa bila idhini au kutoa taarifa mkakubalia na mumeo
Mke wa mtu unapaswa kujiheshim sana sana huwez kuondoka jioni ukarudi saa nne ukiulizwa unajibu et sina majibu hiyo ni dharau, kuna mawili either kuna mtu anamchanganya akili yake i mean amepata mwanaume wa kando au ameshajua unampenda so haishi vituko lakini hata kama unajua unapemdwa na mumeo si kwa vituko hivi kupelelekea kuhatarisha ndoa
Amekwambia umpe vitu vyake aondoke huyo si mke tena anako kunakompa jeuri hizo, sometimes kwenye mahusiano inapaswa kujiongeza sana unasoma mazingira na wewe unaamua kujiongeza tu
Wakuu habari za asubuhi,
Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.
Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.
Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.
Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.
Naombeni msaada wazee wenzangu.