Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

huwajui wanaume wewe !kama ni mama hana kazi hyo mikopo asikope lakini km unakazi yako na unaona mume mfuajaji kwakweli mie sikuambii !am sorry
Kwa hii ni sawa tu mwanaume akidharauliwa.

Mimi sio muumini wa kusaidiana katika ndoa hata chupi hutakiwi kujinunulia.
 
Mwanamke ambaye mkigombana kidogo anakimbilia kuondoka maana yake kuna mtu anamtia kichwa. Cha msingi na muhimu usijifanye ulimbo, mwache aende hajui huyo anaempumbaza anamtaka kwa kuwa anaona yupo kwako ila ikitokea abebe jukumu lote atamtimua na hapo ndio atarudi halafu na wewe utatumia nafasi hiyo kumtawala, kwa sasa umetawaliwa.
 
Kwa hii ni sawa tu mwanaume akidharauliwa.

Mimi sio muumini wa kusaidiana katika ndoa hata chupi hutakiwi kujinunulia.
mpo wachache ndo mnaishia hvyo!kuna wanaume ana miaka na miaka hajui bei ya chupi ya mkewe au ht losheni!kama mashetan vile mxiew
 
duh! wanaume wanazidi kupungua aisee! yaani mwanaume mzima kuja jf kwa kaswala kadogo hivyo!!!
 
Duuh pole mkuu. Huyo ana kiburi. Na ukizidi kumuendekeza anaweza kukopa kwa hati yenu ya kiwanja/nyuma nk (kama vipo) bila kukushirikisha ukaja juta.
 
Ila wanasemaga wahenga kwamba msema pweke hushinda, mambo ya family matters ukiyaingilia unaweza kuta unatetea side isiyo sahihi..
Kwanini ulikuwa unapiga mwanamke...
 
Tua hiyo Headache mkuu japo si vema kushauri ndoa ivunjike but hakuna tena maana halisi ya ndoa hapo
 
Mkuu nakuomba sana kabla ya KUAMUA maamuzi ya kumruhusu achukue vitu vyake CHUNGUZA KWANZA HICHO KIBURI ANAKITOA WAPI BAADA YA HAPO NDO CHUKUA MAAMUZI YALIYOSAHIHI

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Kaa nae umhoji kwa kina na uendelee kufuatilia taratibu uone coz km ana mtu ukiwa mtafiti mzuri utajua tu..Na ikabainika yuko na mwanaume basi utajua mwenyewe uendelee au ufanyeje!
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Siku nyingine usifanye hivyo mkuu

Akichelewa kufika omba mchezo tu

Mchezee kama hutawahi kucheza tena

Hatarudia aki ya nani
 
Yan mkuu kwa uzoefu wangu nanhawa viumbe Nakushauri upige chini mapema
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Jifunze kumuacha aende zake, komaa kutafuta pesa ukizipata na ww watakutafuta kama alivyo tafutwa jamaa na mkeo ili akope.
 
Back
Top Bottom