Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Baba Loveness

Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
6
Reaction score
69
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..

Hii ndo tabu ya kuwasifia wanawake ...anaona utambembeleza....
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
 
Mke wa mtu huwezi kukopa bila idhini au kutoa taarifa mkakubalia na mumeo

Mke wa mtu unapaswa kujiheshim sana sana huwez kuondoka jioni ukarudi saa nne ukiulizwa unajibu et sina majibu hiyo ni dharau, kuna mawili either kuna mtu anamchanganya akili yake i mean amepata mwanaume wa kando au ameshajua unampenda so haishi vituko lakini hata kama unajua unapemdwa na mumeo si kwa vituko hivi kupelelekea kuhatarisha ndoa

Amekwambia umpe vitu vyake aondoke huyo si mke tena anako kunakompa jeuri hizo, sometimes kwenye mahusiano inapaswa kujiongeza sana unasoma mazingira na wewe unaamua kujiongeza tu
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Muache aende zake,bora aondoke mapema asije akakuletea ngoma,hapo kwanza ulimchelewesha,alipokujibu hivyo,ungetembeza kichapo kidogo,harafu unamwwmbia nikija nisikukute,
Ukirudi,unakuta kakupikia chakula ukipendacho,harafu unaulizwa,nikuletee chakula?
Unapiga msosi,usiku kama kawa....???!!!,
Hamna kesi hapo,alikuwa anatingisha kiberiti
 
Kumbe mzee wa kupiga piga, si ajabu kakutana na m'bembelezaji huko!
Anyway, kama mdau mmoja alivosema pale juu, ukiona ktk mahusiano mmetofautiana kidogo af mmoja anaingia mlango wa "kuachana" bas hakuna haja ya kumpiga tena, hutopata chochote kwa kumpiga, sanasana unatafuta kesi tu ukanyee ndoo!
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
[emoji817] [emoji817]
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Je hakuna ulilomuuzi kipndi cha karibuni?., je ww huwa unawah kurud kutoka katka shghul zako na akikuuliza huwa unamjibu vzur?...kama hakuna mlichotofautiana kipnd cha karibuni bas kuna tatzo kwa uyo Dada, muulize kwa upole atakwambia...
 
Dah, "huwezi kunijibu hivyo Mimi wewe"

Mkuu, hiyo hela si kwamba alikopeshwa, Ila ni ujira alipewa baada ya kumvulia chupi huyo jamaa.

Sasa hivi anakiburi cha kusepa huenda jamaa kamuhakikishia kumlipia kodi popote atakapotaka ili wapate muda mzuri zaidi wa kulana kwani huenda jamaa ni mume wa mtu pia.

Na huo uhusiano wao hujaanza tu "out of the blue"... Hao wana Strong Base ambayo huenda ilikuwepo miaka mingi hata kabla hujakutana na huyo mkeo unless wewe ndo ulimvunja bikra.

Ukiendelea kumforce sijui kumbembeleza atakuja kukuwekea sumu ufe kabisa ili aje kuenjoy maisha bila bugdha yako.(kuna Uzi humu unaelezea vizuri saikolojia ya mwanamke anayecheat)

Siyo kama hatokuja kujuta, kujuta ni lazima(power of karma) ila ni baadae baada ya kurudiwa na fahamu wakati huo kama sio ukimwi basi mimba ishatolewa sana.

Mwisho kabisa pole sana Mkuu, Muombe Mungu akupe nguvu na ufocus kwenye mihangaiko yako.
 
Ushauri unategemea na moyo wako ukoje juu yake vipi wampenda bado? Na kinyume chake achana kwa amani sio mpaka mugawane majengo ya serikali
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
Hapoo kwenye uzimaa wa milele hapo ndio pakuutafutaa mkuu hv vingine vyote vya kupitaa mkuu..barikiwa sanaaa
 
Back
Top Bottom