Fact.Wengi wetu yumemshauri amuache aende! Ushauri wenu sikubaliani nao. Kwa nini mtoe hukumu mapema ivi? Ndoa yao ina muda gani? Wana watoto wangapi? Wao wana umri gani? Mwanaumwe mwenyeni ni msafi kwa %100 ngapi? Naomba wakae pamoja waongee vizuri tu.
Point f lyf well saidPole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu
Kama unaweza njoo pm
Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
Acha kupoteza muda mkuu, mapenzi ya kulazimisha hayafai atakuja kukusababishia stroke ufe atumie mpaka kitanda na shuka lako na mahabuuba wakeHii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Mkuu we hujawahi kivurugwa, ukivurugwa ukavurugika, ukachafukwa utaleta hapa, na term mitandao ya kijamii ni pana sana, na hata hiyo jf ambayo ndio unailenga kuna "wahenga" humu wanaweza kushauri vzr tu, just keep focusedNdugu hujitambui,mambo ya ndoa hupaswi kuleta kwenye mitandao ya kijamii!!!
Kama MNA watoto au hamna!Hii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Mkuu__Unajua__Bahat mBaya_Waliyokuwa nayo_Hawa Viumbe Wenzetu__Wakishaanza kuwa na mazingira ya nje huwaga sio rahis kuficha hisia zao__Yaan Lazima utajuaa tu__Tofaut na Mwanaume unaweza ukawa na NGOMA hata 3 lakin MKEO asishtukeWakuu habari za asubuhi,
Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.
Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.
Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.
Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.
Naombeni msaada wazee wenzangu.
Eeh wanawake wako wengi hatukatai lkn mke au wake ni wachache mno duniani vivyo hivyo kwa wanaume wako wengi tu ila mume au waume ni wachache halkadhalika wanadamu nao ni wengi ila watu ni wachache mno duniani.Wanawake wapo wengi sn
Hilo neno yawezekana kuna kitu kamfanyia sasa anafikisha ujumbe kwa njia hiyo na kama mke halizishwi nayenyewe huchangia japo watu huona jambo lakawaidaJe hakuna ulilomuuzi kipndi cha karibuni?., je ww huwa unawah kurud kutoka katka shghul zako na akikuuliza huwa unamjibu vzur?...kama hakuna mlichotofautiana kipnd cha karibuni bas kuna tatzo kwa uyo Dada, muulize kwa upole atakwambia...