Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Yanii Huyoo tayarii kapata Bwanaa hukoo hata usijisumbuee sanaa..!! Muachee tuu aende ilaa ipo siku atarudi kwa Vilio...Maana wanawake wengi huwa wanakuwa na tamaa ya vitu vikubwa vya mda mfupi wakiacha vile unavyompa vidogo kwa Upendo na moyo wako wotee..Jamaa atamchoka soon usijali..
 
Hii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Kumpiga haisaidii, muache aende tu,hata kama ulimpenda sana hauna jinsi kukubaliana na hali kwamba it is so and it can't be otherwise.

"They say you can't turn a bad girl good and once a good girl has gone bad ,has gone bad for ever and you will mourn forever" (Jay Z ,songcry)
 
Wengi wetu yumemshauri amuache aende! Ushauri wenu sikubaliani nao. Kwa nini mtoe hukumu mapema ivi? Ndoa yao ina muda gani? Wana watoto wangapi? Wao wana umri gani? Mwanaumwe mwenyeni ni msafi kwa %100 ngapi? Naomba wakae pamoja waongee vizuri tu.
 
Kwa kuwa umemwambia achukue vitu vyake aende ,umefanya vizuri sasa uwe na msimamo kaa katika mstari huo huo,usibadili msimamo fanya kama hujali lolote ,usitoe maelezo mengine, na hata akiondoka usiseme kitu kaa kimya na pia usimtafute, inauma lakini vumilia.Silence yako itakuwa sooooo loud itakuwa na matokeo chanya. Ukirudi nyuma imekula kwako!
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Mkuu huyo mkeo kapata mtu ambaye ana neema nyingi kuliko wewe sasa usiumize kichwa chako kisa mwanamke. Siku zote hao viumbe hawaridhiki. Ikiwa Mungu mwenyewe hajawaridhisha utaweza wewe?.
Mwambie asafiri salama asikuletee kiwingu. Angalia umri wa wanao usiwatese wakae vizuri ila usiishi na huyo ibilisi.
 
Unatombewa weweeee
Amkaaaa ki akili
Maadam unataka ushauri mimi sipindishi kona kona bali ukweli ni kwamba unatombewa pambana na tabia yake
Tuache cc tupambane na hali zetu[emoji1321]
 
Tafuta hela tu haya manamake huwa yanapasua kichwa.......hiv kwa mfano ulinunua shati ,mwisho wa siku likaanza kukubana, si inabidi ununue shati jinginne linaloendana na saizi ya mwili wako....
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Anakujibu basi tuachane. Huyo kashapata mwingine na hizo hela hajakopa kwa nguvu bali kahongwa. Huyo mwanaume anayempa hela ndo kakuzidi kete.
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
umewaza sawa na mim mkuu....
 
Mkuu pole sana nakukumbuka bado ,, VP ndoa yako inamuda gan??? Mnawatoto ????.

Iyo yakurudi usiku huo alafu anaishia kukupa majibu Badala ya kukuelekeza ndo inshu !!!!!.

Ngoja nikuhakikishie kitu ,,,,Huyo jamaa kama anamgonga anamgonga lkn HAMPENDI HATA KIDOGO ,,anamgonga kwasababu anajua kaolewa kwaiyo Hagaramiki.

MAAMUZI ULOYAFANYA NISAHIHI WALA USIHISI UMEKOSEA , KWAIYO WEEE KAZIA HAPO HAPO ....UMEMUWEKA KTK WAKAT MGUMU SANA. NAHAPO ALIPO HAJUI CHAKUFANYA MAANA HUKO ANAKOTAKA KWENDA HANA UHAKIKA NAMAISHA ,NAKAM ANAO NIWAMUDA MFUPI.

sasa fanya ivi ,, Usimpigie simu wala kumtumia meseji za kujua km keshaenda au bado ,wala usiulizie majirani.

Ukirudi jion ukamkuta usimsemeshe kitu jifanyie yako tuuuu ,kama nikula rudi umeshakula .....
Fanya ivo mpaka siku atakayokubaliana na mashariti yako
 
achanna nae...yani ukiona unamgombeza af anakimbilia kusema "tuachane" hapo hata mkiendelea kuishi pamoja ujue ana lake kichwani....ukimngangania atakuja kukupa sumu...TUPAAA KULEEE
 
Huyo ana mchepuko wake. Anakusomea ramani asepe kiaina ..! Jiongeze Mkuu.
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
hebu kumbuka nyuma hujawahi mkosea?? au angalia na ww unamapungufu gn kwa mwenzio,,? sisi wanawake baadhi yetu tunatabia yakuweka vinyongo na kulipiza visasi,, sasa akisha choka kuona vituko vyako ,, ndipo anaanza vituko na yeye,,, kaa chini na mkeo zungumzeni tofauti zenu mfike mwafaka muirudishe amani ya ndoa yenu,,,, kelele ndani ya nyumba hufukuza hata ridhiki
 
Back
Top Bottom