Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Hizi ndoa za siku hizi jamani!!!!
Nahisi kuna mahali umelega kama mwanaume maana mke anpata wapi ujasiri wa kukujibu hivyo mumewe seriously!! Achilia mbali hiyo mikopo ya kutokuafikiana!!!
Something is wrong somewhere. Mkeo hakutii mkuu.
 
Huyu mkeo ndiye yule aliyekua anakupasua kichwa????
Je mke huyu ndiye mgonjwa wa titi ???alishapona???
Swali LA mwisho ulisemaga unapenda bikra huyu ulimuoa akiwa bikra???? Jibu kwanza hayo then ntakuja na ushauri
 
Wengi wanaetoa ushauri naamini nivijana ambao hawajaoa. Mnisamehe kama nimewakwaza.
 
Hii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Mmefunga ndoa?Mna watoto?Kurudi usiku kwa mke siyo issue sana kama ni muaminifu,wanawake mbona wanasafiri wanaacha waume zao.Kuwa mvumilivu kwenye ndoa.Jifanye hakuna lililotokea songa mbele.Mungu awabariki
 
Mke wa mtu huwezi kukopa bila idhini au kutoa taarifa mkakubalia na mumeo

Mke wa mtu unapaswa kujiheshim sana sana huwez kuondoka jioni ukarudi saa nne ukiulizwa unajibu et sina majibu hiyo ni dharau, kuna mawili either kuna mtu anamchanganya akili yake i mean amepata mwanaume wa kando au ameshajua unampenda so haishi vituko lakini hata kama unajua unapemdwa na mumeo si kwa vituko hivi kupelelekea kuhatarisha ndoa

Amekwambia umpe vitu vyake aondoke huyo si mke tena anako kunakompa jeuri hizo, sometimes kwenye mahusiano inapaswa kujiongeza sana unasoma mazingira na wewe unaamua kujiongeza tu
Umeandika vizuri sana.Bila shaka ww ndoa unaifahamu vizuri mm nina miaka 14 kwenye hiyo ndoano.
 
Hizi ndoa za siku hizi jamani!!!!
Nahisi kuna mahali umelega kama mwanaume maana mke anpata wapi ujasiri wa kukujibu hivyo mumewe seriously!! Achilia mbali hiyo mikopo ya kutokuafikiana!!!
Something is wrong somewhere. Mkeo hakutii mkuu.
Ukichungulia chungu ukiona kifaranga kimeja ujuw mamaake ndo kaanza chini. Hapo kuna mengi nyuma ya pazia
 
dah ukisikiliza matatizo ya watu kwenye ndoa unaona tu matatizo twako sio kabisa
 
Mke wa mtu huwezi kukopa bila idhini au kutoa taarifa mkakubalia na mumeo

Mke wa mtu unapaswa kujiheshim sana sana huwez kuondoka jioni ukarudi saa nne ukiulizwa unajibu et sina majibu hiyo ni dharau, kuna mawili either kuna mtu anamchanganya akili yake i mean amepata mwanaume wa kando au ameshajua unampenda so haishi vituko lakini hata kama unajua unapemdwa na mumeo si kwa vituko hivi kupelelekea kuhatarisha ndoa

Amekwambia umpe vitu vyake aondoke huyo si mke tena anako kunakompa jeuri hizo, sometimes kwenye mahusiano inapaswa kujiongeza sana unasoma mazingira na wewe unaamua kujiongeza tu
Kachelewa kuRudi....
Hana sababu ya msingi......
Hataki kujibu (hata kudanganya tu, nilikuwa na hadija)
Yeye ndo anataka vitu vyake aondoke....

Hakupendi, athamini masuano yenu, anadharau ya hali ya juu..... Maaana hata kama katoka kwa mchepuko mke anayeheshimu mume na asiye na dharau ANGEDANGANYA SABABU,TENA KWAKUKUMBELEZA (HATA KAMA KINAFIKI MOYONI MWAKE)

WATU WATE wangekuwa wanakosea,hawadanganyi kinafiki... Duniani kusingekuwa na mahusiano wala Ndoa..
 
Unajuw huyu ndugu yetu amesema mapungufu ya mwenzie, ya kwake hatuyajuwi. Sasa unatoa hukumu moja kwa moja! Mbona karibia ndoa zote zaweza vunjika!!
najua kwamba unatakiwa kusikiliza pande zote 2 pia uchanganye na akili zako ili kuujua ukweli lakini sabab aliyepo hapa ni mmoja na kwa kuamini kuwa anaehitaji msaada wa kweli daima atasema ukweli ili ushauri atakaopewa umsaidie so km anayake pia anaficha hiyo ni shida yake mwenyewe, siku zote msaidie mtu vile anavyokuja, ni sawa na akaja mtu anakuamba ela ya kula ana njaa ukampa yeye kaenda kununua sumu akanywa hiyo haitakuhusu maana alikuficha!!!
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Wa ndoa kabisa au ni wake wa karibu tuishi?
 
Mkuu, we mkaribie MUNGU Atakupa hekima ya kujua ufanyeje ukitumia akili zako utafeli
 
Kuna vitu Lissa Lee haviwezi kuvumilika! Moja Mwanamke mwenye kiburi... Huwezi ukafanya maamuzi makubwa bila kumshirikisha Mume wako! Maana kama nakuheshimu na nakushirikisha kila kitu unapofanya hivyo unaua trust na Mwanaume kama Kiongozi yeyote haangalii issue ya trust kwa jicho la Leo.. Anaangalia miaka mbeleni.. Kama hujataka kuwa mwaminifu leo ni nini guarantee utakuwa mwaminifu huko.mbeleni?!

Pili kosa ambalo ukienda nalo kwa baba mkwe yeyote yule.. Atakupokea na kukupa chai na kucheza karata ni kosa la mwanamke mzinifu.. Utashangaa mpk baba mkwe atakuwa upande wako.. Its true hatuwezi jua.. Lakini mke Wa MTU hata kuwa katika mazingira ya kutuhumiwa ni kosa. Na kama hanyooshi maelezo basi anakiburi ..rejea point namba moja.

Kwa kifupi mwanamke kuna kauli hapaswi kusema.. Kauli kama "mbona...." Au "kama hivyo basis bora uniache" au "kwani wewe mkamilifu" .. Mie dereva nachojua lengo ni familia wafike salama.. Hujawahi kukuta mwanaume mleevi..ila watoto wake kanisani mpk jumatano.. Mke wake kanisani msafi ..na watoto upright?! Hii yote ni kujua sio kila pastor ataenda mbinguni ila kazi yake ni kuhakikisha mnapata ujumbe utaowasaidia kuutafuta ufalme Wa mungu..

Waheshimuni Waume zenu..
sawa mkuu. nmekuelewa ,, kazi kwake kuchukua ushaur unao mfaa na kuufanyia kazi
 
Huyo si mke wako ni mke wa jamaa aliemkopesha hela ndio maana anarudi SAA anayotaka "akili Ku mutwe" mkuu.
 
Hii ni moja ya kero za muungano, kaeni chini mzitatue
 
Back
Top Bottom