Saaa zingine HAJALIWA.. inawezekana ikawa AMEPONYOKA..Ukiona manyoya?
Kwa majibu ya huyo mwanamke baada ya kuulizwa ulikuwa wapi ni wazi ameshaliwa kitambo tena sio mara mojaSaaa zingine HAJALIWA.. inawezekana ikawa AMEPONYOKA..
Huyo sio muongo anasema ukweli kuwa katoka kulipa deni, Itakuwa ametoka kulipa deni kwa kutumia amana yake ya asili.Du yani mwanamke anarudi SAA nne katoka kulipa deni , hilo deni hakuweza kulipa kwa mobile money, kifupi jamaa aligonga mzigo vibaya sana ndio kiburi kimemjaa
Mke wa mtu huwezi kukopa bila idhini au kutoa taarifa mkakubalia na mumeo
Mke wa mtu unapaswa kujiheshim sana sana huwez kuondoka jioni ukarudi saa nne ukiulizwa unajibu et sina majibu hiyo ni dharau, kuna mawili either kuna mtu anamchanganya akili yake i mean amepata mwanaume wa kando au ameshajua unampenda so haishi vituko lakini hata kama unajua unapemdwa na mumeo si kwa vituko hivi kupelelekea kuhatarisha ndoa
Amekwambia umpe vitu vyake aondoke huyo si mke tena anako kunakompa jeuri hizo, sometimes kwenye mahusiano inapaswa kujiongeza sana unasoma mazingira na wewe unaamua kujiongeza tu
Mleta mada majibu yote unayo tatizo ni kuwa bado unampenda. Umekwenda kazini ukijutia kwanini ulimwambia achukue vitu vyake na aondoke. Hasira kubwa ni kuwa mwanamke hakukuomba msamaha lakini unafahamu fika kuwa mzigo jana uliliwa.
Umefanya jambo sahihii kumjibu kwa busara.Wakuu habari za asubuhi,
Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.
Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.
Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.
Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.
Naombeni msaada wazee wenzangu.
Yani umeongea fact kabisa Lisa...unajua wanaume hawajawajua wanawake vzur...ndo mana nkauliza hakumkosea kipind hiki? Mara nyng unaweza mkosea mkeo na akakuuliza ukamjibu shit pia ata msamaha usiombe....kumbe mwanamke kaeka kinyongo...at the end analipiza ..hebu kumbuka nyuma hujawahi mkosea?? au angalia na ww unamapungufu gn kwa mwenzio,,? sisi wanawake baadhi yetu tunatabia yakuweka vinyongo na kulipiza visasi,, sasa akisha choka kuona vituko vyako ,, ndipo anaanza vituko na yeye,,, kaa chini na mkeo zungumzeni tofauti zenu mfike mwafaka muirudishe amani ya ndoa yenu,,,, kelele ndani ya nyumba hufukuza hata ridhiki
ingependeza kama ungeweka na picha yakeWakuu habari za asubuhi,
Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.
Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.
Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.
Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.
Naombeni msaada wazee wenzangu.
Mkuuu samahani una miaka mingapi ya kuzaliwa? Je huyo ni mke wako wa ndoa au Kimada? Nani alimuoa mwenzake, Wewe ulimuoa Mwanamke au Mwanamke alikuoa wewe???Wakuu habari za asubuhi,
Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.
Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.
Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.
Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.
Naombeni msaada wazee wenzangu.
NDUGU HUO USHAURI WAKO PIA UFIKIRIE VIZURI, JIBU ALISHATOA KUWA ALIENDA KULIPA ELA YA WATU TENA MWANAUME TENA USIKU, UNAPOTAKA KUJUA MWENZI WAKO ALIKUWA WAP HALAFU UNAAMBULIA MAJIBU YA TUACHANE SASA HAPO BADO KUNA NINI CHA KUONGEA MUELEWANE? PENGINE HUJAPATA FURSA YA KUWAJUA WANAWAKE VIZURI, HAKUNA MTU ANAEFURAHIA NDOA IVUNJIKE AFTER ALL HATUWAFAHAMU WAHUSIKA ILA KUENDELEA KUNG'ANG'ANIA NI KUENDELEA KUKUMBATIA KAA LA MOTO MWISHO WA SIKU UTAISHIA KUWA BUSHOKE!!!!wasikudanganye umuache mkeo kaa naye muongee taratibu pengine wew pia ni chanzo sometimes wanaume huwa mnaoppose mawazo ya wake wenu bila kufikiria deep. au sometimes aneshakuona wew ni mtu wa misimamo flani anajua hata akikushirikisha hutamsapot anaamua kujichukulia maamuzi yake
kwa mfano labda alienda kukutana na wamama wenzake na walichokuwa wanajadili hajawah kukushirikisha coz wew c wakusupoti idea za wenzako
shortly kaa na mwenza wako muongee muyamalize kama unahic umemchoka mwache taratibu kumpiga/ kumgombeza won't solve ur problems
huu utetezi ni wa kiwango cha chini sana tena hata mwanamke ambaye hajafika la saba na aliyefundwa vizuri na kulelewa kwa malezi ya kiheshima hawezi kuongea hili kituYani umeongea fact kabisa Lisa...unajua wanaume hawajawajua wanawake vzur...ndo mana nkauliza hakumkosea kipind hiki? Mara nyng unaweza mkosea mkeo na akakuuliza ukamjibu shit pia ata msamaha usiombe....kumbe mwanamke kaeka kinyongo...at the end analipiza ..
sasa hapo suluhisho ni nini? tusaidie na sisi tuelimike!!!Kumfukuza siyo suluhisho.