ndicho ulichompendea hichoyaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama
Nachukia sana watu wanao sifia mwanaume,et ni mzuri, mwa naume siku zote anatakiwa awe na Sura ngumu itakayo pambana na kazi, kuna wimbo Fulani Hivi unasema "wanaume tumeumbwa mateso, mateso kuangaika" sasa ukiwa na zura nzuri itakuletea uvivu hivyo uwezo wa kufanya kazi negative zero what is next, your family will face by the famineumemchoka tu... wewe nani alie kuambia majirani wasemayo hua ni mazuri yenye kuitakia amani familia yako? by the way mwanaume ukisifiwa sifa km hiyo ujue kuna kitu anakihitaji kwa haraka ndio maana unapewa cfa fake hata km cjakuona weewe ni mbaya mpaka kwenye ubongo wako na maandishi yako hapa jf.
Rais mwenyewe lugha inampiga chenga sembuse huyu??
tupia sura yake tukupe tathminMimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Kwa taarifa yenu watu wasio jua kusoma na kuandika, dar es Salaam ni wengi balaa, ukitaka kubaini mambo haya tembelea, institute of adult education, in dar Es Salaam, utapata, reports, nyingi zinazo, zungumzia maendeleo ya elimu ya watu wazima kila mkoa Tanzaniaukweli ni kwamba, drm wasio jua kusoma na kuandika, na ni wengi sema wanao ujanja wa mdomoni, sasa ungejua, usinge jisifia, kuwa dar Es Salaam wote ni form six sema, hujaelewa kuwa mtu kuitwa form six ina maana nyingi ya kwanza ni "mwanafunzi anaye soma high school", pili "mtu mjuaji" tatu "mwizi" nne , "mlaghai", tano "mhuni". Sasa tafadhali usijivunie kuwa na sifa chafu et kisa ww unaishi dar chonde chonde usilitumie tena jina la form six lita kuaibisha mkuu.Wa mkoani uyo we huoni anaandika "mens and womens" wakat ukizaliwa dsm ni form six
Wa mkoani uyo we huoni anaandika "mens and womens" wakat ukizaliwa dsm ni form six
[emoji23] mana hamna namna....kumbe mwanamke ukiwa mbaya mtaji wako ni kufumuliwa marinda eeh?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman ukimwelewesha we inatosha...au unapenda tu kuona comments zangu[emoji276]Mweleweshe kwanza mwenzako hapo juu maana ya 0713!
We vipi ushafumuliwa aua bado nitangaze dau?ana chura mtamu eti .kumbe kuna wanandoa wanafumuliwa marinda?
Ninachoweza kusema,unapozungumzia Dsm basi unazungumzia Tanzania.Kwa taarifa yenu watu wasio jua kusoma na kuandika, dar es Salaam ni wengi balaa, ukitaka kubaini mambo haya tembelea, institute of adult education, in dar Es Salaam, utapata, reports, nyingi zinazo, zungumzia maendeleo ya elimu ya watu wazima kila mkoa Tanzaniaukweli ni kwamba, drm wasio jua kusoma na kuandika, na ni wengi sema wanao ujanja wa mdomoni, sasa ungejua, usinge jisifia, kuwa dar Es Salaam wote ni form six sema, hujaelewa kuwa mtu kuitwa form six ina maana nyingi ya kwanza ni "mwanafunzi anaye soma high school", pili "mtu mjuaji" tatu "mwizi" nne , "mlaghai", tano "mhuni". Sasa tafadhali usijivunie kuwa na sifa chafu et kisa ww unaishi dar chonde chonde usilitumie tena jina la form six lita kuaibisha mkuu.
Yaani nikiona comment yako mahali moyo wangu unakuwa kwatuuuuuuuu!!!......Sijui sasa nikiiona chura yako moyo wangu utakuwaje,huenda nikazimia kabisa![emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman ukimwelewesha we inatosha...au unapenda tu kuona comments zangu[emoji276]
[emoji23] ntajitahidi usizimie....Yaani nikiona comment yako mahali moyo wangu unakuwa kwatuuuuuuuu!!!......Sijui sasa nikiiona chura yako moyo wangu utakuwaje,huenda nikazimia kabisa![emoji23]
Chura ipo dear?[emoji23][emoji23] ntajitahidi usizimie....
Anaanzaje kukosa sa kwa mfano[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ....au ninogeshe kwa kapicha[emoji23] ...Chura ipo dear?[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !eti unogeshe kapicha![emoji23]Anaanzaje kukosa sa kwa mfano[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ....au ninogeshe kwa kapicha[emoji23] ...
Sent from my GT-S7582 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !eti unogeshe kapicha![emoji23]
0713 ninini? Mmeniacha apooo0713 mmmmh[emoji3] [emoji3] [emoji3]