Mke wangu ana sura mbaya

Mke wangu ana sura mbaya

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,168
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua.

Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.

Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwanini kanipigia.

Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa.

Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanana naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
 
Nimekuelewa sana mkuu.

Ila hapa umeniacha kidogo fafanua.

"Mens than womens"
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Uzuri wa mwanamke sio urembo bali ni tabia au umemchoka!
 
endelea nae tu mkuu mlee watoto mkuu hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom