Mke wangu ana sura mbaya

Mke wangu ana sura mbaya

"Watoto anaonizalia, wanafanana naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia."

Wonders shall never end...asiejua mana haambiwi maana...unapendwa hutaki unatafuta kutendwa...
By the way we ndo mtu wa kwanza kukisikia unasema watoto wako wabaya khaaaaaa kwa hiyo wakioa au kuolewa wafanyiwe haya unayomfanyia mama yao...na alokuambia mkioana wazuri nda watoto wanakua wazuri nan unaongea na muumba siku hz....
We ni externally controlled men u dnt deserve any woman at ur side...wajiona mzur sana huo uzuri wako umekusaidia nn tangu uzaliwe!?
unalaana,umelaaniwa kwa usodoma wako akili imekuruka ndo unaongea hovyo hovyo...km una miaka kumi ya ndoa bado una akili hz nawaonea huruma watoto wako....!
Bila shaka ww humtunzi mkeo na sio mbaya ila amekosa matunzo eti hakusumbui maswala ya pesa...mbahili tu ww unataka mpk mkeo akuombe hela....mtunze na muhudumie mkeo kam ulivokula kiapo uone km anaendelea kuwa mbaya
Kweli tuziombee sna hz ndoa siku hz mana kwa watu wa akili hz watoto wa mitaan hawataisha leo...mtu analala anaamka anataka kuvunja ndoa for stupid reason....infact for no reason km alivosema mdau mmoja subir wakugongee uone utakavoumia ndo utajua km mbaya au unzinz wako unakutia upofu....jirekebishe hutoshi kuitwa mume wala baba
 
Discipline
 
Kweli wewe Discipline kama hajanyooka basi tena.
 
Duh..we ndo umenambia kitu, nimekoma na kukubali mapungufu yangu. Ubarikiwe kwa kiboko ulichonipa, in fact i love my wife, the way she is!!!
 
sab Kwa taarifa yako "Uzuri uko kwenye macho ya mpendaji" Kwako kibaya Kwa mwenzio ndio Bomba.Mwenye-EZ-Mungu katika miujiza yake.
Poa mkuuu, maneno yako yana ukweli ndani yake, ndio maana chongo huonekana kama nakshi ya urembo
 
Ina maana huyo mwanamke uli lazimishwa kumuoa au? Wakti MNA tongozana mpaka mnaenda kuoana mkazaa watoto wawili hukujuwa ana sura mbaya mpaka Leo ndio umegunduA? Wanaume tuwe na aibu kidogo michepuko sio dili una kuja kimbia familia kisa vitu havina hata msingi
 
Shetani tu anakunyemelea, mkemee mapema. Hauna msimamo ndo maana unayumbishwa, kama ulimwona mzuri na anakufaa iweje leo uone hakufai, jisimamie baba. Uyo ndo mrembo wako
 
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua.

Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.

Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwanini kanipigia.

Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa.

Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanana naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Niweke nikubandulie. Itasaidia kukupa wivu na kumpenda... Amini nakuambia.
[HASHTAG]#ManFongo[/HASHTAG]
 
hii kali ya mwaka, labda juju yake ime expire ndio maana unamuona mbaya
 
Back
Top Bottom