Mke wangu ana sura mbaya

Mke wangu ana sura mbaya

Hii Ni Zaidi Ya Comedy Aisee.
"Mke Wako Ana Sura Mbaya", Umeiona Leo? Be Serious Mkuu.
 
Bora ungeandika tuu kiswahili maana wingi wa man ni men na woman ni women.unasema ukitaka 0713 atakupa au huwa anakupa.kama anakupa hadi hiyo,baas mshukuru Mungu na uipige kweli kweli,hiv ndugu unakaa Tabata?
Unambomolea ninii? Unaulizia location kupata uhakika?
 
Kwi kwi kwi kwi kwi lol! Kwani uliwekewa bastola kichwani ili umuoe!? Ulitangaza ndoa mwenyewe na harusi ukaandaa na kuhudhuria. Acha hizo banaaa na siku zote kumbuka kabla hujafa hujaumbwa.
This sounds like 'come and we stay, bless the marriage afterwards, mara nyingi ndoa hizi hubarikiwa baada ya misa ya kwanza zile misa za katikati ya wiki, mnatakiwa mashahidi wawili tu, baada ya hapo kila mtu anaendelea na hamsini zake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmmmm! Haya bana, kwa maneno mengine ndoa ya mwendo kasi. Naam hizi nazo zipo nyingi tu.

This sounds like 'come and we stay, bless the marriage afterwards, mara nyingi ndoa hizi hubarikiwa baada ya misa ya kwanza zile misa za katikati ya wiki, mnatakiwa mashahidi wawili tu, baada ya hapo kila mtu anaendelea na hamsini zake.
 
ulifunga nae ndoa????
kama ulifunga nae ndoa,then leo unamsimanga jf,utakuwa kichaa wewe...
 
Hao watoto unaowasemea sipati picha ukiwatazama nahisi huwa unataman utegee wanyama porini maana umesema kwa hisia mnoo
 
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Sjui ndo nini iyo si bora ungeandika kiswahili tu
 
Mmmh akija uyo kafanana na mama nahisi utatamani upeleke dar zoo
 
Kipindi cha kukojoa nje ni sasa kuzuia mimba zisizotarajiwa...yaani najiona mi mbegu yangu inashikisha mimba balaa
Kwaiyo lugha ya mimbegu ni dhahiri mtoa mada ni mwehu tuu kaja kuchekesha jukwaa hana ukweli
 
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Sura mbaya wanawake ni watamu
Aiseeeeeeeeeeee
Watamu kunoga
Sasa ombea awe cheusi mangala
Ubanduki ng'oo utabaki tu kumponda
Ila moyoni ni kiburudisho tosha.
binadamu huwezi pata vyote ridhika na ulicho nacho.
 
Back
Top Bottom