mgongo mtii
Member
- Apr 8, 2016
- 46
- 56
Nadhani kichwani mwako iko shida sio kidogo, umeambiwa mzur bac imekua tabu bac kaolewe na wewe!
Hahahaha, dah watu mnawaza mbalisijui kwa nini mirembe wanaruhusu kuingia na simu!
Walikutana wakati wa kupatwa kwa jua.We ni Kichaa nini? Kwani huyo mkeo ulimuoa kwenye giza? Au ulimpenda ukiwa umelewa hujitambui! Acha Ujinga ww.
Kwan mpk anakuw mkeo wwe hkuliona hilo!!!???Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimekuelewa sana mkuu.
Ila hapa umeniacha kidogo fafanua.
"Mens than womens"
Ulishachagua huna uhuru tenaMimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.