Mke wangu ana sura mbaya

Mke wangu ana sura mbaya

Huu mchezo wa kuoa wabaya hauhitaj hasira
Plz naomba muwamalize wabaya wotee tena muwa oe kwa ndoa za pngu ya maisha
Ila waachen watoto wazur waje kwng
 
Huyu mleta mada anatakiwa kupimwa akili, huwezi kukaa na mtu miaka yote hiyo halafu leo ndio umuone mbaya
Tatizo la marriage, mnapokaa pamoja kwa muda mrefu na mnapokuwa mnakwazana kwazana u start seeing bad things of your spouse, hebu mtoa mada jaribu kurudi upendo mliokuwa nao wakati mnaoana, mfanye mkeo akupende na kukuheshimu, nawe mpende mkeo, kila mtu atimize wajibu wake, mapenzi yakirudi utamuona mzuri tena, n i believe she s beauty ndio maana ulimuoa
Achana na huo ufirauni wa kula tigo, hiyo ni moja ya vitu vinavyokufanya umuone mbaya
 
Wanaume wengne bana nadhani ww ni wa dar mana ndo waga mna swaga za hivyo;ila sio ote weng wao.
Sikia sasa usije kujidanganya ukaowa mwanamke mzur sana kisura atakisumbimua sana -
1;hutamuamini hata kama ukitoka,
2;kamwe hakuna maelewano ndani ya ndoa maana anajitambua ni mzur.
3;wanamaringo baraaa kama hutak acha ntapata mwangne.
4;habembelez hata kidogo.
5;watt anazaa mpaka atake yy.
6;mara nying hakushirikishi hasa mambo yake.
7;pesa zinatumika sana kujilemba na mambo mengne yasiyokuwa na tija.

Hivyo bas mwanamke ni tabia sasa unataka nni? kingne hakuna mtu mbaya jamani mbaya ni yule mwenye tabia mbaya ambayo haiendani na ww,haya tafuta sasa huyo mzur bas kama hautakuja hum tena kuomba ushauli.
 
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Mungu akusaidie, najua hujui ulitendalo wala uliongealo. kuna mtu mmoja alikuwa anamwona na kumwambia mkewe kuwa ana sura mbaya, hataki hata kutoka naye, mke alipata shida sana. kuna siku yule handsom alipata ajali, uso anaoringia uliharibika na ulemavu juu. akawa na sura mbaya kuliko ya mkewe, na kujikuta amebaki mzigo kwa mkewe tena kwasababu zaidi ya kuharibika huo uso anaoringia alilemaa. hapo ndio mwanaume alikuwa mdogo kama piliton manake mkewe naye aliona kama haendani na mwanaume kabisa hata kutoka naye ni fedheha. mwombe Mungu akusamehe na akusaidie akili yako ikue, kwasababu haujui kesho yako.

mke mwema ni mwema roho, huo mwiili mapambo tu. mke mwema ndio huyo anayekujali, hata ukiugua ugonjwa wa kuharishia kitandan ni huyo atakutawadha na kufua uchafu wako. mtu anayekujali na kukupenda toka moyoni ndiye mzuri, ukitaka sura, wataishia kujiremba hata mavvi yako wataona shida kuyazoa siku ukiugua huna mbele wala nyuma.
 
Unamdiss huku unamkubali kiaina endelea nae tu hayo mapungufu yanavumilika kabisa hao wanawake wanaokwambia huendani na mkeo waulize kama ukimwacha mkeo leo watakubali kuolewa na wewe na kulea watoto wako hakika wataingia mitini wote nadhani umenielewa handsome mwezangu
 
weka picha nithibitishe...

ukitaka ujue mkeo mzuri subiri uchapiwe mkuu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Fahamu uzuri unapita ila moyo hauchuji,kazi kwako sasa kuchagua sura au moyo
 
Fahamu uzuri unapita ila moyo hauchuji,kazi kwako sasa kuchagua sura au moyo
 
Back
Top Bottom