Mke wangu ana sura mbaya

Mke wangu ana sura mbaya

Weka picha yako tafadhali.. mwanaume kujiita Handsome kuna jambo si la kawaida!
 
Sasa shida yako ni nini na umepata yote uliyokuwa ukiyapangilia?Ujue huwezi kupata 100% ya mtu wa ndoto zako na huyo ulonae ndo chaguo lako!!
 
Kiongozi jitahidi kadri uwezavyo kumweshimu mkeo hata kama sura mbaya jama, huyo nimkeo au hujafunga naye ndoa?
 
acha kukufuru kwa kile mungu alikupa, huo ndo ubavu wako afu isitoshe ulimchagua ww bika kushikiwa kisu kooni. nimekudharau sna kuja kumuanika mwanamke wako hapa jf ssa unataka sisi tuje tumbadilishe ndo awe mzuri alafu mwanamke matunzo mpige lotion za ukwel aende saloon na ale vizur atapendeza tu sio kuja hapa. nonsense
 
Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out,
Huyoooo ni chaguo lakooo...x 2
Ulimtafuta kila mahali,,,chaguo lako.

Jaribu kuimba huo wimbo,nadhan akili itarudi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom