Mke wangu ana sura mbaya

Mke wangu ana sura mbaya

Hivi unakulaje mkeo unaempenda, kumheshimu na kumthamini takko. Dunia haiishi vioja.
 
Kwa taarifa yenu watu wasio jua kusoma na kuandika, dar es Salaam ni wengi balaa, ukitaka kubaini mambo haya tembelea, institute of adult education, in dar Es Salaam, utapata, reports, nyingi zinazo, zungumzia maendeleo ya elimu ya watu wazima kila mkoa Tanzaniaukweli ni kwamba, drm wasio jua kusoma na kuandika, na ni wengi sema wanao ujanja wa mdomoni, sasa ungejua, usinge jisifia, kuwa dar Es Salaam wote ni form six sema, hujaelewa kuwa mtu kuitwa form six ina maana nyingi ya kwanza ni "mwanafunzi anaye soma high school", pili "mtu mjuaji" tatu "mwizi" nne , "mlaghai", tano "mhuni". Sasa tafadhali usijivunie kuwa na sifa chafu et kisa ww unaishi dar chonde chonde usilitumie tena jina la form six lita kuaibisha mkuu.
Wewe ni wa mkoani au wa Dar? Tuanzie hapo kwanza
 
Ww, angalia usije ukapewa jina la limbukeni wa jiji hili mkuu, kaa utulie usidhalau watu mkuu tuendelee na mambo mengine,
Mwalimu wako wa mwandiko ni nani ndugu yangu?
Swali langu halihusiani kabisa na mahali unapoishi!
Soma tena utaelewa ninachokimaanisha!
 
Umezalilisha wanaume tunahaja ya kukusame aise
 
Tumekusikia uchafu wako. Haya nenda kapokee posho ya VILAINISHI kwa kupromote UFIRAJI. inahuzunisha maana wanaume wema tunazidi kubaki wachache.
 
huyo mke babako alikutafutia?au ulimtongoza na mpaka siku ya ndoa sijui siku ya kuvutana ndani ulikuwa viroba vya hatari kwa sasa ndo uko sober?sasa unataka watu wakusaidiaje wakati wendo mwenye maamuzi
 
Samahani kaka nikikukwaza.Hivi Wewe ndiye yule mdogo wake SHETANI niliyeambiwa anaishi Tanzania?
 
Naona unapenda sura nzuri na siyo tabia,hebu rizika na ulichonacho ,bora huyo tabia anayo nzuri,utakuja pata mwenye sura nzuri akakusumbua ukamuwaza yule uliyemuacha.
 
Back
Top Bottom