Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Rais mwenyewe lugha inampiga chenga sembuse huyu??Nimekuelewa sana mkuu.
Ila hapa umeniacha kidogo fafanua.
"Mens than womens"
Rais mwenyewe lugha inampiga chenga sembuse huyu??Nimekuelewa sana mkuu.
Ila hapa umeniacha kidogo fafanua.
"Mens than womens"
Alimuoa wakati yupo amnesia, kumbukumbu zimemuijia two hours ago ndiyo maana kaamua kuandika huu uzi!We ni Kichaa nini? Kwani huyo mkeo ulimuoa kwenye giza? Au ulimpenda ukiwa umelewa hujitambui! Acha Ujinga ww.
Imefika mahala kila kiroja kinaletwa JF, sasa tumegeuza JF kama kilabu cha dengelua, pingu, na komoni.We ni Kichaa nini? Kwani huyo mkeo ulimuoa kwenye giza? Au ulimpenda ukiwa umelewa hujitambui! Acha Ujinga ww.
Bora ungeandika tuu kiswahili maana wingi wa man ni men na woman ni women.unasema ukitaka 0713 atakupa au huwa anakupa.kama anakupa hadi hiyo,baas mshukuru Mungu na uipige kweli kweli,hiv ndugu unakaa Tabata?Nimekuelewa sana mkuu.
Ila hapa umeniacha kidogo fafanua.
"Mens than womens"
Mghoshi uzatimiwa na 07130713 mmmmh[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Si hiyo 0713 ni tigo?Mm sina cha kukushauri, ila naomb mnijuze maana ya 0713 na namba nyingine huwa mnamanisha nn?
Kumbe duh!Si hiyo 0713 ni tigo?
Wanamaanisha tigo dear!Mm sina cha kukushauri, ila naomb mnijuze maana ya 0713 na namba nyingine huwa mnamanisha nn?
Mweleweshe kwanza mwenzako hapo juu maana ya 0713!Chura je??? Anae???