Pitia hizi threads, utajua tatizo ni kubwa zaidi ya hapa:-
![]()
Nikimuacha mwanamke kwa kutoa namba kwa mwanaume, nitakua nakurupuka?
Ikiwa mtu anajua fika kuwa huyo mwanaume anamtaka, kisha akampa namba, binafsi naichukulia kama nia ya wazi ya kusaliti in the near future Je kumpiga chini ni uamuzi wa kukurupuka? Moja ya utetezi wake ni kua ameghafilika na hata mimi naweza kughafilika Nilijaribu kumsamehe ila katika...www.jamiiforums.com
![]()
Unamudu/ilimudu vipi mahusiano (ndoa) baada ya uaminifu kufunjika ?
Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna mahusiano ambayo hua hayana hizi struggle za hivi ?www.jamiiforums.com
![]()
From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.www.jamiiforums.com
Si ndio mahaba mzee baba!! au ww mkeo unawasiliana nae kama wizara zinavyowasilianaWe nae una maswali ya kijinga sana..Baba zima unaanzaje kuuliza mambo ya sijui mmekula tambi na nin!
What next kwenye nini? Hiyo ni familia yake ana haki ya kujuaSasa ukijua wamekula nin,then wat next?
Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo"
HahaaaaaaaaaaaMimi wa kwangu kipind ana ujauzito Kuna siku nilimkuta kanuna
Nikamuuliza 'mbona sura umeikunja hivyo'
Akanijibu 'nataka kuiweka kwenye begi'
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana.
Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
Namba yako plzKama unakereka wewe chukua no ya rose, mkeo usimpigie tena video call.mpigie rose atakuuliza kwa nn siku hizi umpigii jibu la kumpa unalo.
Mimi siweziWatu wengi wanaishi na wenza ambao hawana akili timamu .
Hivi mkiwa mko mbali, kama baba unamuuliza mke mmekula nini anasema tambi, kuna kosa kujua wamekula tambi na nini ?
AnaboaSasa ukijua wamekula nin,then wat next?
Hana nizamu ni mcharuko na kama umemkanya hasikii, Achana naye atakusumbua sana na atakugharimu maendeleo ya maisha yako, na kujuta baadae.Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana.
Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
Akijua wamekula tambi na mlenda atafanyaje?What next kwenye nini? Hiyo ni familia yake ana haki ya kujua
Ya nini? Sema hapa ntakujibuNamba yako plz