Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,339
Niliishia ku.smile tu alikuwa mjamzito wa miezi 5Dah!
Niliishia ku.smile tu alikuwa mjamzito wa miezi 5Dah!
AiseeeeeSiku yake na ww akikuuliza uko wapi mjibu "nipo kwa mpalange"
Kabisa.Majibu ya jumla jumla yanamuhusuWe anza kumjibu ya jumla [emoji23][emoji23]
Mpige mimba za reja reja atakuwa na heshima.Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana,
Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
Sasa ukijua wamekula nin,then wat next?Hivi mkiwa mko mbali, kama baba unamuuliza mke mmekula nini anasema tambi, kuna kosa kujua wamekula tambi na nini ?
Dawa yake ni Wewe kuwa Mume sasa.
Pole ana dharau, una 'mkaza' vyema?!
Duuu kumbe kuna mengi yapo nyuma ya hayo majibu?Pitia hizi threads, utajua tatizo ni kubwa zaidi ya hapa:-
![]()
Nikimuacha mwanamke kwa kutoa namba kwa mwanaume, nitakua nakurupuka?
Ikiwa mtu anajua fika kuwa huyo mwanaume anamtaka, kisha akampa namba, binafsi naichukulia kama nia ya wazi ya kusaliti in the near future Je kumpiga chini ni uamuzi wa kukurupuka? Moja ya utetezi wake ni kua ameghafilika na hata mimi naweza kughafilika Nilijaribu kumsamehe ila katika...www.jamiiforums.com
![]()
Unamudu/ilimudu vipi mahusiano (ndoa) baada ya uaminifu kufunjika ?
Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna mahusiano ambayo hua hayana hizi struggle za hivi ?www.jamiiforums.com
![]()
From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.www.jamiiforums.com
Mpandishe cheo awe bi mkubwa mtafute bi mdogoYani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana.
Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?