Mke wangu ana majibu ya rejareja

Mke wangu ana majibu ya rejareja

Kwa thread zako, inaonekana kabisa una shida kwenye ndoa yako na unahitaji kweli msaada... ushauri wangu tafuta mtu/watu unaowaamini ongea nao.
Hapa jf utachangamshwa tu pole sana.
 
😅😅😅hii stage kwenye ndoa kitaalam Inaitwaje?
 
Ukichunguza sana si ajabu na wewe haya ndo majibu yako hivyo anaamua kulipiza.

Japo pia nikushauri kwenye mahusiano kuheshimiana ni kitu bora sana na ikitokea mnaishi kama watu wa vijiweni basi hayo yatarajie.
 
kwa uandishi huu, ndoa yako si ya kanisani, msikitini, wala bomani. ukiishakuwa dereva wa bodaboda haina maana unaweza kuoa na kutunza mtoto wa watu.
Hizi mbona ni kejeli? Uliambiwa na nani bodaboda haba familia. Jitahidi kuheshimu kazi ya mwenzio.
 
Majibu hayo ya rejareja ameanza kabla ya tarehe 17/03/2021 au baada?
 
Sasa ubaya wa hayo majibu uko wapi hapo "unakula tambi na nini? Si mdomo jamani😀
alitakiwa amwambie mume wake kama wamekula labda na chai au kama ni nyama, pia alipimuuliza mguu wa nini inamana jamaa labda alitaka kuona sura,
Bidada hayuko romantic, jamaa hana hela au bidada ana mtu anampa jeuri
 
Muendekeze tu huyo si unacheka nae. Gangamala baba acha kulia na huyo.
 
Haya mapenzi ya kuoana kisa kashika mimba. Huwa yanatibua sana.
Ndo maana wadau wanafanya anashika mimba anazaa tunalea miaka miwili hadi mitano ndo tunafunga ndoa yaani hapo kati mme fall in and out and in love tena.
Ni mwendo wa kufall in and out and in tena mpaka unasema yes ndo yeye sio mimba tu unaoa
 
Niamini mm mkuu. Kuna mtu unatoka naye tu, no promises. Ila akishika mimba unalazimika kuoa (au kwa madem analizimika kuolewa nae)

Huko mbeleni ni kisanga.
 
Back
Top Bottom