sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Mi kikubwa asiwe anaongea sana kama chirikuUmeongea bila kupepesa macho. Wanawake wengi wenye akili hawaoleweki na wale wajinga wajinga ndio uolewa kwa sababu ambazo labda kuwa na matako makubwa au uzuri, lakini akili kisoda