Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,818
Mke wa pili....Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana.
Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?