Mke wangu ana majibu ya rejareja

Mke wangu ana majibu ya rejareja

Niamini mm mkuu. Kuna mtu unatoka naye tu, no promises. Ila akishika mimba unalazimika kuoa (au kwa madem analizimika kuolewa nae)

Huko mbeleni ni kisanga.
Nimeshawai shuhudia hili... Inaleta shida sana...
 
Ndo maana wadau wanafanya anashika mimba anazaa tunalea miaka miwili hadi mitano ndo tunafunga ndoa yaani hapo kati mme fall in and out and in love tena.
Ni mwendo wa kufall in and out and in tena mpaka unasema yes ndo yeye sio mimba tu unaoa
Acha tu mkuu. Ukikosea hii sehem ni mzigo
 
Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana.

Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"

Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
Mle 0718
 
Watu wengi wanaishi na wenza ambao hawana akili timamu .
Umeongea bila kupepesa macho. Wanawake wengi wenye akili hawaoleweki na wale wajinga wajinga ndio uolewa kwa sababu ambazo labda kuwa na matako makubwa au uzuri, lakini akili kisoda
 
Hakuna siku amechelewa kurudi ukamuuliza kwanini umechelewa? Akakujibu "kuchelewa huko kwio"
Khaaa khaàaa
giphy.gif
 
Back
Top Bottom