Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
...Ni Vigumu 'Kushinda' Uwanja wa Ugenini! Mwanaume unakubalije Mechi ichezezwa huko wakati uwezekano wa Kufungwa ni Mkubwa?
 
Yaani uchomwe kisu tumboni halafu uwe ba uwezo wa kufanya mengineyo! Kisu tumboni ... labda kisu hakikuingia huko aisee
Vyovyote ilivyo kila mtu ana bahati yake kama huyo msela alivyokuwa anakojoa kwa raha siku zote bila kufumaniwa ilikuwa bahati yake na huyu jamaa kisu kutokuingia ni bahati yake.
 
Jamani sio kwamba wanawake hawashawishiki nje wanashawishika sana tuu na wao wana mioyo ya nyama ila itawezekana kwa brave women wasio na tamaa kucontrol hizo hisia hasi. Ndo maana kumjua Mungu kuna faida na ukikumbuka pale altareni siku tunafunga ndoa kuwa mmekua ni mwli mmoja na ukikumbuka kuwa utaachwa ikiwa ni zinaaa imefanyika,na ukikumbuka una familia na wtt hisia zote zinakata na kufocus kwenye familia yako. Muda mwingine wanawake kwa wanawake kudanganyana oooh mimi nina kibenten ww unaachaje kwa mfano? Ooh mmi nina jizeee linanipa hela na ww jaribu. So choose ur friends wisely
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Umesahau kuweka picha ya msela nondo
 
Sasa kama hafikishwi kunako unataka afanyeje?!
Ni upumbavu tu Hiyo dhana ya kufikishwa.

Huyo anayejua kuwafikisha Wanawake mbona Ndoa yake inayumba!!

Kuna watu wana laana ya zinaa tu kutokana na kukulia kwenye makuzi ya kishetani. Kama anafikisha watu akamfikidhe na mama yake na dada zake na shangazi zake. Tamaa tu. Ngono ni jambo linalofanyika kuanzia kwenye akili ya MTU na sio kwamba anawafikisha Wala Nini. !! Kama palivyo na walevi Wa pombe na walafi Wa Chakula Hata ngono Kuna walevi Wa ngono na walafi. Wapo wanaume na Wanawake Hao Hata angeolewa na Mbwa Koko na ngono zake hawezi kuridhika mana ni mlevi na kwake ngono ni starehe. Ngono ikishakua ni starehe basi haiwezi kuridhisha nafsi. Hakuna MTU anayetosheka na starehe Labda auawe tu Lakini sio kuonywa. Ataridhika vipi Wakati kila Siku wanazaliwa Wazuri na wenye nguvu Zaidi Japo Kwa muda.?

Na Vijana wengi sana HUKO tunakoenda hawatamudu KABISA Maisha ya Ndoa mana Wanawake wamekua cheap sana Sasa vijana wanaona kuoa kama usumbufu walakati wanapata Wanawake kirahisi sana bila jasho. Zamani watu walioa mana Wanawake ilikua kuwapata ni Kwa Mbinde. Na Wanawake Wazuri wenye tabia nzuri ilikua ni fahari kumpata na kumuoa. Kwa Sasa Hali ni tofauti Wazuri ni dhaifu Zaidi na wanatamaa za kimaisha wanayochanganya na ngono.

Msukuma Mkokoteni anakula Mke Wa Mfanyabiashara na tajiri. Halafu Mke Wake huyo Msukuma Mkokoteni anachukuliwa na Dereva Bajaji.
Na Mke Wa Dereva Bajaji anachukuliwa na muuza chipsi. Sasa HAPO Kuna umahiri Wa kumfikisha mwanamke au ni tamaa na Pepo la uzinzi lililoikumba tu jamiii?
 
90% ya uchepukaji unakuwa driven na tamaa. Hizi factor zingine ni uongo tu.
Ni kweli KABISA
Hebu angalia Kwa mfano.
Mke Wa tajiri na Mfanyabiashara anachukuliwa na Shamba boy. Halafu Mke Wa Shamba boy huyo anachukuliwa na Dereva bodaboda. Na Mke Wa huyo bodaboda anachukuliwa na Muuza chips. Mkwe Wa muuza chips anachukuliwa na Mwalimu. Na mke Wa Mwalimu anachukuliwa na Daktari na MKE Wa Daktari anachukuliwa na Mpaka rangi za kucha na urembo. Na huyo mpaka urembo Hana MKE Wala Demu mana hawezi mikikimikiki ya kutunza familia.
HAPO ukiangalia utagundua kuwa ni tamaa tu na ulevi Wa ngono na Pepo la uzinzi limeikumba jamii. HAPO Kama wangekua mahiri kila mmoja angemridhisha MKE wake lakini kutokana na tamaa kila mmoja anatamani Mume au MKE Wa Mwenzake .
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Ila msela nondo alijua ishakuwa vita kwann alimchoma bisu mwenye mke wake ?
 
Kama unapigiwa mke na dogo ambae hana miaka ishirini wewe ni boya sana na unatakiwa kujitafakari mno uanaume wako mkuu.

= Najua ni wewe
 
Mwanaume Wa Kweli unaanzaje Kula Mke Wa mtu..?
Wakati Wanawake Kibao wanatafuta Waume..?
Wanawake Wamejazana huko kwa Manabii wapo kibao waombewe Waolewe....Wewe unaenda kula mke wa Mtu.?
Kwanza kuna mmoja hapo juu amecomment ni Kinyaa..kweli hiyo tabia ni kinyaa.
,.. Tena unaenda Kumlia Uwanja wa Ugenini? Mapanga Yanakuhusu....!
 
Ni upumbavu tu Hiyo dhana ya kufikishwa.

Huyo anayejua kuwafikisha Wanawake mbona Ndoa yake inayumba!!

Kuna watu wana laana ya zinaa tu kutokana na kukulia kwenye makuzi ya kishetani. Kama anafikisha watu akamfikidhe na mama yake na dada zake na shangazi zake. Tamaa tu. Ngono ni jambo linalofanyika kuanzia kwenye akili ya MTU na sio kwamba anawafikisha Wala Nini. !! Kama palivyo na walevi Wa pombe na walafi Wa Chakula Hata ngono Kuna walevi Wa ngono na walafi. Wapo wanaume na Wanawake Hao Hata angeolewa na Mbwa Koko na ngono zake hawezi kuridhika mana ni mlevi na kwake ngono ni starehe. Ngono ikishakua ni starehe basi haiwezi kuridhisha nafsi. Hakuna MTU anayetosheka na starehe Labda auawe tu Lakini sio kuonywa. Ataridhika vipi Wakati kila Siku wanazaliwa Wazuri na wenye nguvu Zaidi Japo Kwa muda.?

Na Vijana wengi sana HUKO tunakoenda hawatamudu KABISA Maisha ya Ndoa mana Wanawake wamekua cheap sana Sasa vijana wanaona kuoa kama usumbufu walakati wanapata Wanawake kirahisi sana bila jasho. Zamani watu walioa mana Wanawake ilikua kuwapata ni Kwa Mbinde. Na Wanawake Wazuri wenye tabia nzuri ilikua ni fahari kumpata na kumuoa. Kwa Sasa Hali ni tofauti Wazuri ni dhaifu Zaidi na wanatamaa za kimaisha wanayochanganya na ngono.

Msukuma Mkokoteni anakula Mke Wa Mfanyabiashara na tajiri. Halafu Mke Wake huyo Msukuma Mkokoteni anachukuliwa na Dereva Bajaji.
Na Mke Wa Dereva Bajaji anachukuliwa na muuza chipsi. Sasa HAPO Kuna umahiri Wa kumfikisha mwanamke au ni tamaa na Pepo la uzinzi lililoikumba tu jamiii?
Ni kweli,ngono ikishaingia akilini,Ni vigumu kujizuia
 
Back
Top Bottom