mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,760
Whatapp haijakaa njema , yaani mtu akikutumia ujumbe na ukaamua kuuchuna inabidi usiingie tena humo la sivyo mwenzio ataona jamaa yupo online na hataki ku reply ujumbe wangu , ni nani wa muhimu sana ambaye ana chat nae hadi anashindwa kujibu ujumbe wangu ?
Hayo ndo maswali ambayo jamaa atakuwa anajiuliza ?
Hayo ndo maswali ambayo jamaa atakuwa anajiuliza ?