Mpenzi wangu hanipi muda lakini yupo online muda wote

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
192
Reaction score
414
Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.

Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata siku nzima inapita bila kuongea naye vizuri.

Kinachonichanganya zaidi ni kwamba nikifungua WhatsApp namkuta online. Anaonekana kupost status, kuangalia status za watu na wakati mwingine anaonekana kwenye mitandao kwa muda mrefu.

Nikijiuliza, kama ana muda wa kuwa online, kwa nini hana hata dakika chache za kuongea na mimi?

Nimejaribu kumuuliza kama kuna tatizo au kama amechoka na mimi, lakini ananiambia sina sababu ya kuwa na mashaka na kwamba ana mambo mengi ya kufanya.

Lakini ukweli ni kwamba nimeanza kujisikia kama sina umuhimu tena kwake.

Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba zamani alikuwa mtu wa kunitafuta. Angeuliza nimeamkaje, nimefika salama au siku yangu imekwendaje. Sasa mimi ndiye ninayelazimika kuanzisha mazungumzo karibu kila mara.

Sijui kama mapenzi yamepungua au labda nimekuwa nikimlazimisha mtu ambaye tayari ameshaanza kuniacha moyoni.

Nimefika mahali najiuliza kama niache kumtafuta kabisa nione kama atanisikia au atanitafuta mwenyewe.

Kama ungekuwa kwenye nafasi yangu, ungefanya nini? Ungeendelea kumtafuta, ungekaa kimya mpaka yeye akufuate, au ungeamua kuachana?

kulia.png
 
Pole sana anaonekana ni mbinafsi roho mbaya mpumbavu sana huyo mpenzi wako
 
View attachment 3654176
Njoo kwangu,, nakuhakikishia hutojutia 😎
 
Jaribu kuacha kumtafuta sana na yeye aku miss.

Sasa wewe mtu kabla hajakumiss unamtafutatafuta kila siku.

Kwani wewe huna cha kufanya zaidi ya kumtafuta huyo mtu?

Lazima atakuchoka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom