Rafiki yangu Yupo Dodoma kikazi mkewe Yupo Dar mfanya biashara. Rafiki yangu analalamika muda wote atakapo kuchat na mkewe Yupo online. Amejaribu kuongea na mkewe lakini wapi. Je hii imekaaje wanajamii?
Mume hashindi online ni wakati anataka kuwasiliana na mkewe muda wote ndio hivyoKwa hiyo mume yeye ana uhalali gani wa kuwa whatsapp muda wote?
Mume hashindi online ni wakati anataka kuwasiliana na mkewe muda wote ndio hivyo
wasap ina kiherehere sana...i hate it!! mara ''last seen 16:30' ata kam aumeingia mara moja tu tangu asubuh..na ukiopen tu application...kitu kinasoma 'online'....mbaya zaidi umemtumia kitu na hajibu na still 'online',.,,,,inahitajika busara kwa kweli
wadada wa kichagga wameingiaje hapa mkuu acha ujingakazi sana na hawa wadada wa kichaga
umeombwa ushauri ulikuwa huna haja ya kuponda. Inaelekea umri umeenda bado unatafuta mchumbalaiti kama ningekuwa najikuta kwenye ndoa type hii, basi hii ingekuwa ndoa yangu ya 20 na kuendelea.