snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,325
hhahahahah! nafikiri Suleiman Hegga anakuhusu zaid na Jumanne Mayoka
hao wote cha mtoto huyu anaweza kukaa kupiga stori na Fumo Lyongo huyu!
hhahahahah! nafikiri Suleiman Hegga anakuhusu zaid na Jumanne Mayoka
ahahahahhahha kuna mume wa mtu anablockiwa sasa hv hapa!Mie nataka jua, ukimblock mtu anajua kama ameblockiwa? Anapata notification yoyote? Kwenye whatsup.
Asante
Wake za watu kweli mna kazi...bora huyu wa kwangu ni mke wa watu8.
umeona enh!
ila wengine hapa ka tunakunywa ndyofu barid kwa burudiko!
na ungekuwa unakunywa sijui ingekuwaje.
weweeeeeeeeeeeee!ahahahahahahahhahhahahhhahhaa we mama kulwa nawee!
nilijua tu ungesema hivo!
niin tenaaaa !ah usinistue hvo bana!weweeeeeeeeeeeee!
mwali hapa nina msala wanangu wamekuzwaje sasa??
nataman ardhi ipasuke niingie mwali najiona nimeshindwa mwali..........
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hili nalo swali! lakini je kwanini wasi cht wawili?Kwa hiyo mume yeye ana uhalali gani wa kuwa whatsapp muda wote?
Nivea unataka geuka masai.... Mdogo wako mzma lakini?