GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,666
umeombwa ushauri ulikuwa huna haja ya kuponda. Inaelekea umri umeenda bado unatafuta mchumba
hata huo ni ushauri mkuu, mbona IQ yako inazidi kushuka kwa kasi!
umeombwa ushauri ulikuwa huna haja ya kuponda. Inaelekea umri umeenda bado unatafuta mchumba
Matusi na kejeli za nini? Kama una ushauri si okae kimnya acha ubwege
I am sure you do go for itso what is his concept? Mie nashindaga online because it is my life and my phone. I need to socialise. wtf?
Acha utoto
wadada wa kichagga wameingiaje hapa mkuu acha ujinga
Hivi kweli mshikaji mpaka ameamua kuoa sidhani Kama ataweza kumuuliza mkewe maswali ya kitoto Kama hayo. Wewe umeolewa? Kwa jinsi navyomuelewa ndio maana nimekwambia acha utotoHuo utoto wangu uko wapi hapa?soma uelewe nilichojibu kabla ya kutoa maoni yako. Huo ndio utashi
Hivi kweli mshikaji mpaka ameamua kuoa sidhani Kama ataweza kumuuliza mkewe maswali ya kitoto Kama hayo. Wewe umeolewa? Kwa jinsi navyomuelewa ndio maana nimekwambia acha utoto
Huo utoto wangu uko wapi hapa?soma uelewe nilichojibu kabla ya kutoa maoni yako. Huo ndio utashi
komenti zinamuuma kasingizia rafikiye kumbe yeye
Hahah watu hata fbook wanakuja kwa style ya rafiki yangu amekuwa hivi so anaomba ushauri.
Siku moja mdada alishapresent ishu yake ya boyfriend kutoonekana valentine hadi ilipoisha sasa siku ingine kama baada ya miezi sita alikuja na ishu ile ile ila sasa alikuwa ashajua boy anacheat so aliongea incident ya valentine plus aliongezea matukio mengine after valentine wakati wa kutiririka. Si akasahau kwamba alishalileta ijadiliwe kwenye kundi na kudai awamu hii ni ya rafiki yake. Kwani akisema ni yeye kuna mtu anamdai?
I am sure you do go for it
Mume hashindi online ni wakati anataka kuwasiliana na mkewe muda wote ndio hivyo
sasa mke akiwa offline si mume atamkosa anapotaka kuchat nae??
mmmh! mm niko online skype muda wote na yahoo mesenja sijui nakosea pia........
Hmm...mbona sikuonagi? Au unajiwekaga invisible?
Mrembo wewe upo Whatsapp? Facebook je?
Mwambie ajaribu kuingia online kwa jina lingine alafu arushe ndoana...
Kote kote. Huko kwangu mie ndo kama ilivyo kisimani , nisipokuja kumnywesha ng'ombe, nitajachota ya kupikia, kama si kupika basi kuoga, kama si kuoga basi kunywa, kama si kunywa basi kufua, kama si kufua basi n.k
hahahhhhahaha! sasa utanionaje ilihali hunijui na huja ni add??