Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,552
- 21,685
Wapambane wenyewe kwa wenyewe
Cheo ni dhamana tu😂😂😂😂😂😂😂😂 Siku zote huwezi shindana na wenye mamlaka
Kwani kuna anaeyamiliki!!Kifuatacho hapo ni kutupiana majini tu.
Makonda hana mamlaka bali anajivika mamlaka.😂😂😂😂😂😂😂😂 Siku zote huwezi shindana na wenye mamlaka
Ni kweli ila mtu mjinga anaweza tumia cheo kukupa madhara yatakayoathiri maisha yako mkuu. We have to take that in charge na ndio maana tunaamua kukaa kimya kuepusha kung'olewa kucha na plaiziCheo ni dhamana tu
Huwa inafanyiwa kazi mkuu ndo maana umeona huyo mojawapoHiyo miongozo ingefanyiwa kazi watumishi wengi wa umma wangeipata.
HAWAJAMPA KISHIKWAMBIHeshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Gambo alimfukuzisha Lema nchini huyo kenge. Ndio hapo kila kubwa ina kubwa yake. Asilie atulie kama ananyolewaWacha wajishughulikie
Tuliwaambia dhambi ya kula nyama ya mtu uwa haina mwisho
Kumeanza kuchamgamka sana.Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Wapo watumishi wa umma walikuwa shirika la utangazaji tbc walienda kuwania ubunge bila kuandika barua za kuomba Sabbatical Leave. Kwa hii nchi hakuna linaloshindikanaKwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
kufundishia adabuFimbo kumbe ni kifaa cha kufundishia linchi la ajabu kweli
Kwa nafasi yake hatakiwi kufanya siasa, kama ni kweli wala hajaonewa.