Kuna jamaa alikuwa Mwalimu baadae akaingia CWT akawa Afisa akaachana na chaki .
Baadae walitolewa yeye na akina Maganga.
Kiukweli ile 'Ari' ilimuathiri Sana MTU umezoea kutembelea V8 ofisi kiyoyozi Marupu rupu Makubwa .
Baadae unakabidhiwa Chaki na kupewa vipindi huku Mwalimu Mkuu wako anakufatilia kila unapokanyaga.
Ile hali ilimuathiri Sana kisaikolojia ,kiuchumi . akawa MTU wa kujikatia tamaa
Kumbuka ukiwa unapata marupu rupu mazuri lifestyle unabadilisha kwa 80% kuanzia kula , kuvaa, kusaidia ,
Umezoea kulaza karibia 8M ghafla unarudi kuokota 600K ambayo Ina makato ndani