Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,860
- 3,058
Leta sheria inayomzuia mtumishi wa umma kuingia katika majukwaa ya kisiasa
Nijuavyo mimi watumishi wengi tu wana kadi za ccm tatizo ni ikijulikana wewe unashabikia upinzani ndipo zengwe hujitokeza
Nijuavyo mimi watumishi wengi tu wana kadi za ccm tatizo ni ikijulikana wewe unashabikia upinzani ndipo zengwe hujitokeza
Huwa inafanyiwa kazi mkuu ndo maana umeona huyo mojawapo