Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
.....No reform no election SIO kwa FAida ya TAL na CHADEMA,,,tazama sasa...na BADO....Wacha wafu wazike wafu wenzao
 
Nadhani Arusha hawana wazawa wanaotaka ubunge. Maana hata Lema ni wakuja.

Moshi & Arusha kuna mwingiliano mkubwa.
Mmeru wa Arusha na msia wa Siha wanazungumza lugha zinazo fanana.Wana koo zinazofanana.

Mpaka baina ya Kilimanjaro na Arusha ulitakiwa kuwa Bangata / Kimandolu.

Mwl Nyerere kwasababu za kisiasa hakutaka Wameru waonekane Wachagga wengine kama wamarangu,wamachame,Wakibosho au Warombo akaamua kuwapeleka Arusha na kuwaingiza Wapare mkoa wa Kilimanjaro.

Wameru walikuwa wajanja zama hizo sawa na wachagga kuwaunganisha ktk mkoa mmoja baada ya uhuru ilikuwa mbaya kisiasa.

Kumbuka mkuu wa majeshi CDF wa kwanza katokea Meru Gen Mirisho Sarakikya.

Wameru waliwahi kwenda UN kabla ya uhuru kudai ardhi yao sawa na Wachagga.
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Afisa elimu anapewa cheo na RC?
 
Makonda atakuwa ni mpuuzi sana. Alitaka mke wa Gambo aone aibu kumtetea mume wake hadharani? Yeye anavyomfungia mke wake ndani anadhani kila mtu anafanya hivyo? Kwanza ngoja tukamchapie ili ajitambue.
Kamchapie ujikute ununio bila ulimi kama Msukule 😁
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Kuondolewa kwake ni halali sababu amekiuka maadili ya ajira yake.mambo ya siasa awaachie wanasiasa yeye ni mwajiriwa hiyo alipaswa kufuata maadili ya ajira yake.
 
Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
Mbona kuna kundi kubwa la wanaccm ni viongozi wa kuchaguliwa ndani ya vyama vyao?
Ccm ya sasa ni genge la wahuni tu likilindwa na dola
 
Reference or citation mkuu .

Ni mwalim gan ulimwona mda wa kazi yupo jukwaani akimsifu mama wakat kaacha vipindi huko ?
Na jukwaa hilo lilikuwa ktk tukio gani ?

Usije ukatamka walim walozungumza siku ya mei mosi , au walim walozungumza kwenye shughuri yoyote ya kiserikali as walikuepo hapo kwasababu za kikazi na kwa utaratibu,

Matharan siku husika watoto wa halmashauri husika walisimamishiwa masomo ili walim washiriki tukio husika.

Sasa MKE wa huyo Jama alitumia masa Saba kwenye mkutano ambao haikua wa kiserikali, Bali ilikuwa ni wakifamilia. That's childish.
Wewe acha upofu...
Mwenge umeshapita hapo kwenu!?
 
Yaani hichi kitu kisipodhibitiwa na serikali itakuja kuzaa kitu kikubwa ambacho watashindwa kudhibiti.We unafikiri mabomu ya kujitoa muhanga huwa yanaanzia na vitu vidogo vidogo tu pale usawa haki na busara visipoonekana.Mimi huwa na kitu kimoja kwenye maisha yangu ,ukinionea hata kama wewe ni raisi wa nchi maadamu ni binadamu.Nitajitetea kwa njia zilizowekwa kwa nguvu zangu zote huku niki"sugua goti" kwa MUNGU wangu aliye hai nikikusomea mistari kadhaa ya biblia UTOBOI.Nimefanya hiki kitu ,na kinafanya kazi ,uwe na wewe mkamilifu lakini but bado unaweza kutubu na MUNGU akakusamehe na kusimama na wewe.
 
Wanafunzi hiyo shule huko kazi wanayo si kwa mboko za mama Gambo akianza kufundisha Kiswahili na Civics zake
 
Na "mama yao" anawaangalia tu! Ama kweli mwana.....ni mzigo wa mama.
 
“Heshimu waliokuajiri”

Kumbe hii kauli ulikuwa ujumbe wa lamamaa.
Ikitoka kwa RC.
 
Mtume (SAW) amesema:

"Hakika waliotenda haki watakuwa juu ya mimbari za nuru mbele ya Mwenyezi Mungu, upande wa kulia wa Ar-Rahman (Mwingi wa Rehema), na mikono ya Mwenyezi Mungu yote ni ya kulia – ambao walikuwa wakitenda haki katika hukumu zao, na katika familia zao, na waliokuwa wakisimamia."
(Hadith Sahih: Muslim, 1827)

Ndiyo, katika Qur’an kuna ushahidi kuwa majini walivutiwa sana na Uislamu, wakasikiliza Qur’an na hata wakaamini. Hili linatajwa kwa uwazi katika Surah Al-Jinn (Surah ya 72), ambako majini wenyewe wanasimulia jinsi walivyosikia Qur'an na kuvutiwa nayo.

Mistari kuhusu majini waliosikia na kuvutiwa na Uislamu:

---

1. Surah Al-Jinn 72:1-2

"Sema: Ufunuo umenijia kwamba kundi la majini walisikiliza, na wakasema: Hakika sisi tumesikia Qur'an ya ajabu, inayoongoza kwenye uwongofu, basi tumeiamini; wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi."

---

2. Surah Al-Jinn 72:13

"Na hakika tulipoisikia Uwongofu tuliuamini mara moja. Na anayemuamini Mola wake Mlezi hatakuwa na khofu ya kupunjwa wala kudhulumiwa."

---

3. Surah Al-Ahqaf 46:29-30

"Na tulielekeza kundi la majini kwako likisikiliza Qur'an. Walipofika wakaambiana: Sikilizeni! Walipoisha, walirejea kwa watu wao kuwaonya. Wakasema: Enyi watu wetu! Hakika tumesikia Kitabu kilichoteremshwa baada ya Musa, kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake, kinaongoza kwenye haki na kwenye njia iliyonyooka."

---

Mistari hii inaonyesha kuwa:

Majini wana akili, wana uwezo wa kusikia na kuelewa ujumbe wa Mungu.

Baadhi yao walivutiwa sana na Qur’an na wakasilimu.

Waliwaonya majini wenzao waamini pia.
 
Wewe acha upofu...
Mwenge umeshapita hapo kwenu!?

Kimsingi hiyo ni shughuri ya kiserikali, tayari.... (Wanaenda kwa utaratibu MAALUM)

Hata Kama wanaingiza na siasa huko Ila haikufaa kuwe na siasa huko.

Uchafu wa juma haumfanji mwamed awe msafi, Yani kukosea wanakokosea wakurugenzi kwa kugeuza shughuri za kiserikali kuwa za kisiasa hakutoi nafasi kwa walimu kuanza rasmi siasa muda wa kazi.
 
Ni upuuzi wa hali ya juu huu na unaweza kufanyika ktk nchi kama Tz tu.
Ni wakati ambao wenye dhamana wanatakiwa kukemea tabia hizi !
 
Back
Top Bottom