Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Kuna ngazi tofauti za Uafisa Elimu na uteuzi wake
1. Afisa Elimu Kata - Mteuzi ni Katibu Tawala Mkoa (RAS) hapa mkuu wa Mkoa anaweza kuingilia fasta sana.
2. Afisa Elimu Taaluma,Takwimu,Watu wazima au Mkuu wa Idara mwenyewe-Mteuzi Katibu Mkuu.
Je Mke wa Gambo alikua Afisa Elimu gani ?
Kama ni namba 2 basi Gambo anapaswa atambue vita yake sio dhidi ya Makonda peke yake
 
Sema tu awamu hii tuna rais wa hovyo ambaye hawezi kuchukua hatua yeyote juu ya sakata hili.
 
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Kwani kufundisha ni adhabu?
Kuna Mwaziri wakuu kipindi cha Nyerere walishushwa na kuwa mawaziri wa kawaida na waliendelea na majukumu yao bila shida na nchi ikaenda
 
Mkuu sio kumkomoa uyu mama amedandia mtumbwi wa vibwengo hii vita haimuhusu hata kidogo yeye afanye mambo yake sio kuingilia vagi lisilo muhusu watu wenye mamlaka sio wa kushindana nao wana uwezo wa kutumia mamlaka yao na kukuaribia ugali wako wacha ashike chaki akili imkae sawa
nafkiri hujanielewa mkuu nimesema kushika chaki ndiyo kazi aliyeomba mshahara wake uko palepale sanasana atakosa malupulupu ya hapa na pale
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Fimbo ni kifaa muhimu?

Amandla...
 
Afisa Elimu ni cheo cha kisiasa kinakuwa influenced na siasa .

Unafikiri mke wa Gambo amekuwa Afisa Elimu Kutokana na ushawishi wa Ccm na sio weledi.

Kwahiyo RC Ana uwezo wa kukunyanganya Ila ambacho RC hawezi ni kumfuta Kazi Ila kupitia majungu na fitina kila kitu kinawezekana.
Duh
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Ulevi wa madaraka.
Siyo haki na hata ukimchukia mtu, mke wake si part ya ugomvi maana yeye aliajiriwa kwa merits.
Hapo hata kama Gambo ni mgovi wako mke wake hahusiki na ana haki ya kuappeal katika ngazi za juu.
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Afisa elimu ngazi ipi.
 
Huu ndio mfumo katiri wa ccm na ndio maana unazalisha CHAWA .

Kila mtu anajipendekeza kulinda ugali wake...
 
H

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Kumbe waalimu wanakabidhiwa chaki fimbo na kifutio. Basi sawa
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
KARMA HYO INAMUANDAMA GAMBO!Alimsumbua sana LEMA , sasa yanamkuta!
Raha yetu wengine ni kuwaona haya MACCM yakigombanagombana yenyewe kwa yenyewe
 
Nachoona, mke wa Gambo aliamua kufanya hivyo kwa sababu amechoka mume wake kudhalilishwa. Siyo kwamba hakujua kitakachotokea bali wameungana wanafamilia kwenye vita. Hapo mshahara utabaki wa uafisa elimu lakini atakosa yale madaraka ya uafisa elimu tu.

Baadae TAMISEMI watamrudishia uafisa elimu wake na kumuhamisha. Unajua ni kazi sana kwa mkuu wa shule aongoze staff ambayo ndani yake kuna mwl alikuwa afisa elimu!
Hakuna kazi yeyote kaka ukitumbuliwa unapelekwa kama mwalimu na sio afisaelimu chaki itakuhusu na mkuu wa shule anakupangia majukumu kama mwalimu na utayatekeleza tu
 
Back
Top Bottom