Natamani ningeanza mda mrefu ingawa najua sijachelewa sana kwenye hili jukwaa la wenye hoja zenye ujazo mithili ya uzito wa tatizo la mgao wa giza.
Ni hayo tu,tutakutana zaidi jukwaani... Mungu awabariki mpate maisha marefu kama msururu wa mafisadi tz.
Ni hayo tu,tutakutana zaidi jukwaani... Mungu awabariki mpate maisha marefu kama msururu wa mafisadi tz.