Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,437
kwi kwi kwi,
Kuanzia leo Mkapa atabadili ratiba baada ya kilichotokea! Nadhani the best way ni kufanya shtukizo hadi yeye na walinzi wake washangae. Unasubiria akiwa kwenye good moments zake (hasa kwenye ile hotel .....x..... anayotembelea ijumaa jioni kuchati na mafisadi wenzake) kisha unatokea na bonge la bango limeandikwa fisadi fisadi fisadi na kutumia vipaaaza sauti ukicheza muziki wa I work it out ... i work it out... i work it out....
Nyani Ngabu,
Kwanini Wamrushie Mawe,Kwa kosa gani??hakuna aliye juu ya sheria,kama watanzania tunaona ana kosa basi ttumpeleke Mahakamai ili asurubiwe na sio kumuita Mtu fisadi.
vijana wa kileo wamekuwa hawana adabu.
huo ndio ukweli na tukishindwa kukaza kamba kwenye malezi taifa litaelekea kubaya
Toka lini kuzomea ni kosa?
Kuna sheria inayokataza kuzomea? Kama ipo iweke hapa maana itakuwa ni moja ya unjust laws. Na kama ipo, application yake ikoje? Kwa mfano nikikuzomea wewe kwa kumtetea Mkapa polisi watanikamata au ina apply tu pale "wakubwa" wanapozomewa? Please tell me...
Mwnkjj;
Inawezekana kosa ni kumzomea Kiongozi mstaafu.
Mwnkjj;
Inawezekana kosa ni kumzomea Kiongozi mstaafu.
hakuna kosa la kuzomea awe kiongozi mstaafu au kiongozi aliyeko madarakani. Kuna makosa ya kumdhalilisha (Libel), kutukana au kuchochea chuki dhidi ya serikali na makosa ya kumdaia mambo ya uongo. Hawana kesi, zaidi ya kutishia watu.
Heri hao vijana waaachiwe huru mapema maana magazeti ya kesho ndo yatakoleza vichwa vya habari ili kumchokonoa ajitetee kwa nini yeye si fisadi.
TATIZO LA UKUBWA NAO KAMA ULEVI HIVI KUNA KITU WANAITA NIGERIA KABIO OSSI MENTALITY AMBACHO NILIKIONA KIKIJIONYESHA SANA KWA MKAPA ILE KUWA RAISI AKAWA KAMA YEYE NDIYE MWENYE AKILI KULIKO WOTE,SASA ALITAKA ASHANGILIWE HUYO KABIO OSSI (MWENYEENZI MUNGU)Kitila,
Ni makosa makubwa, inaonekana walitaka hao vijana wasifie tu na kupiga vigelegele kuwa mkubwa kapita.
Pambaffff kabisa!
Mkapa Na Mahalu Ni Fisadi Sana Nakumbuka Kule India Tulisomeshwa Wanafunzi Zaidi Ya 5000 Kwa $10,000/ Kichwa/mwanafunzi Kwa Mwaka Lakini Wanafunzi Tukawa Tunapewa $1,200.00 Tu. Nyingine $8,800.00zikapelekwa Kwenye Account Zao Us, Uk, German Etc Through Edcl (wakala) Wa India.