Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Former Tanzanian President praised for being development-oriented
NEW. Watch live television from Ghana plus the latest Ghanaian movies plus OBE TV.

Kumasi, April 27, GNA- Otumfuo Osei Tutu II, Asantehene, on Saturday commended former Tanzanian President, Mr Benjamin William Mkapa for his commitment to advancing the cause of his country and Africa in general.

He said in spite of the political and socio-economic challenges confronting the continent, it was encouraging that well-meaning Africans such as the former Tanzanian President continues to give hope to the continent by being devoted to strengthening democracy, freedom of speech, conflict resolution as well as entrenching civil rights and poverty reduction.

Otumfuo Osei Tutu said this in an address delivered on his behalf by Nana Adu Gyamfi, Adontenhene, when Mr Mkapa paid a courtesy call on him at the Manhyia Palace in Kumasi.

The former Tanzanian President, who ended his two-term of office in 2005, was accompanied by his wife, Anna and an entourage, which comprised businessmen, technocrats and some former Ministers of State. The Asantehene said the time has come for African leaders to work hard towards improving the living conditions of their people by evolving prudent socio-economic policies and also demonstrate accountability and transparency in their work.

"We should always strive to promote the welfare of the masses instead of being engaged in activities and practices that impeded our progress", he said, stressing that this was necessary, since the destiny of Africans lied in their own hands and should as such work towards addressing their own challenges.

Otumfuo Osei Tutu expressed the hope that the former Tanzanian President would continue to share his political experience with other African leaders to help them adhere to good governance to benefit their respective countries.

Mr Mkapa lauded the Asantehene for his various initiatives and good leadership skills, which had seen a tremendous improvement in the lives of residents of the Asante Kingdom.

He pointed out that since his exit from the political scene; he had been active in conflict resolution in the Great Lakes region of Africa and also an active player in Regional Co-operation within the East African community and the Southern African development community.

Mr Mkapa, who is the third President of Tanzania since the country's independence in 1961, is currently co-chair of the Investment Climate Facility for Africa, an initiative supported by the European Union (EU), British Government, the World Bank and the African Development Bank.Source:
GNA

Angalieni hii Jamani, eti Mkapa ni Mzalendo.
 
shukrani yangu imelenga kutambua udhaifu wako mkubwa ktk kupambana kwa hoja na jazba za matusi na dharau ya kijivuni,si mjuaji bali mdini uliyekosa hoja ya kupambana na mzee PM, tupe facts achana na mentality za udini ktk kumshikisha mtu adabu,tambua "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI? NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO, NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA, MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA? JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED


Are You Phillemon Mikael in Disguise?
 
Huyu Mkapa lazima awajibishe, tunajua Kikwete hataki kufanya hivyo ila nguvu ya umma itaamua tu.
 
Hapo tu kwanza huyo mwandishi kakosea,alitakiwa atumie neno clan(ukoo),na pia asimuusishe Mwalimu Nyerere kwenye hilo.Waliomualika Mkapa kwenye ukoo ni familia ya Wanzagi kutokana na shinikizo la Butiku,familia ya Mwalimu haikuhusika kabisa na hilo,ndio maana hata kwenye hio report hapo hatuoni jina hata moja la mtoto wa Mwl Nyerere,au mkewe for that matter likihusishwa na huo mwito.
Kwanza Mkapa aliitelekeza sana familia ya Mwalimu,na Mama Maria likuwa bitter sana nae,na ndio maana alimuembrace JK tokea mwanzo.Serikali ya Mkapa ilitakiwa kujenga ukuta wa kuzunguka eneo zima pale msasani,na yule mama maskini alizungushwa mwishowe akamua ajenge ule ukuta mwenyewe,walivyosikia wakina Mary Nagu at the time kuwa Mama Maria kaamua kujenga ukuta mwenyewe,ndio wakamkimbilia ili wajenge,sasa sijui kama walimalizia wao au ni yeye mwenyewe.
Na wale wanaosema Mkapa alikuwa ni chaguo la Nyerere,pia hio sio sawa! Chaguo lake lilikuwa Salim,na Salim aligoma akitoa sababu kuwa anataka kumalizia kazi zake OAU kwanza,na atagombea baada ya hapo,ofcoz yeye akijua Nyerere angekuwa bado yuko hai.
Waliomshinikiza Mkapa agombee ni Warioba,Salim,Butiku na jamaa mmoja anaitwa Adam Marwa,na hao ndio waliomfuata Nyerere ili amuendorse Mkapa. Ndio maana Salim mpaka leo amesema hawezi kamwe kumsamehe Mkapa kwa vitendo alivyofanyia Dodoma siku ya uchaguzi wa kutafuta mgombea wa CCM.Hana kinyongo na JK kabisa.
Pia Nyerere alimshangaa sana Mkapa kumpa uwaziri Lowassa,na huo ujumbe ulimfikia Mkapa.Mtu akitaka ukweli wa haya amuulize Butiku! Butiku alitegemea mengi kutoka kwa Mkapa,kubwa likiwa ni mchango mkubwa wa fedha kwenda Nyerere Foundation.Mkapa baada ya kuchangia wakati wa uhai wa Mwalimu na baadae(baada ya Mwalimu kufariki) kugundua ,obviously, pesa zinapigwa alisitisha,na Mandela(baada ya ku-take over) kusema kuwa atatfuta pesa for specific events only,kama mikutano n.k.(kukawa hakuna pesa za kupiga tena)
Chuki rasmi kutoka kwa Butiku zilianza baada ya Nyerere kufariki, ingawa baadae zilipungua kidogo kwa kumwingiza kwenye ukoo.Mkapa alikuwa hana sababu ya kukataa kwa sababu alikuwa ni rafiki wa karibu wa mmoja wa wadogo zake Mwalimu,pia mke wake wa zamani Butiku ni wa familia ya Muganda,na tunajua familia ya Muganda ilivyo close na familia ya Mkapa...kutoka hapo ni rahisi ku connect the dots.
Hivyo kama kuna mtu anaitwa Peter Wanzagi kasema hayo,haina maana hayo ni maoni ya familia ya Mwalimu Nyerere, na sidhani kama ni fair kwa kuihusisha,mpaka watu wengine wanasema 'who the hell do they think they are!'Well,they have the name,and it ends there.Wana nini zaidi ya hapo? I feel they are being victimised for something which has nothing to do with them at all,lakini tatizo ni kama alivyosema mchangiaji mmoja humu,ni mwandishi mwenyewe wa hio article.

Shukrani kubwa sana kwa mchango huu. Naona umeweka jambo sahihi.
 
Kama kweli wamedhamiria sawa tunawaunga Mkono lakini ndio isije ikawa Kaole tunapigwa Chezo ili tukae kimya. Wasahau kabisa
 
..maryam ...i have no reason of consealing my identity...i understand your guiltness on your harsh comments you made previouslly...

peace be with you!!
 
Lakini kama ni wanafamilia kivyao vyao watakayoongea yatawekwa wazi. Kwani Wanadhani Mkapa ni kihivyo ? Huwa hasemi kitu ni Bubu full.
 
1. "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI?

2. NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO,

3. NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA,

4. MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA?

5. JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI.

6. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI

7. ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED

Unajua unaweza kumtetea kiongozi mwizi as much as you want, lakini kama utetezi wenyewe ndio huu, ina maana wa-Tanzania tumelala sana usingizi, na kama kweli among us Tanzanians, kuna wenye mawazo kama haya hapa juu, basi tuna safari ndefu sana,

Ninawakumbusha wananchi kwamba hakuna suluhu, usafi wa fisadi utaonekana mahakamani sio kwa kujificha nyuma ya migongo ya wengine, Lowassa, Msabaha, Karamagi, Chenge, kama haya maneno ya hapa juu ni kweli, basi warudishwe kwenye madaraka yao na taifa, Mwakyembe na kamati yake wote warundikwe jela maana wao ndio mafisadi, sio hawa viongozi wasafi, na sisi wananchi tuwaombe radhi kwa kuharibu majina ya viongozi safi, infact sisi wote ni wachafu anyways sasa nguvu ya kuwahukumu hawa viongozi hasa kiongosi safi aliyeacha hazina yetu hela nyingi sana!

Kwa kweli CCM ina haki ya kutawala milele!, Halafu huwa tunashangaa nani anayewapa kura CCM?
 
1.
..najua kigoma ni moja ya mikoa yenye barabara mbovu,...kama mnaongelea barabara zinazojengwa na halmashauri za mitaa au changarawe sikatai ..ZIMEJENGWA ...barabara ninazotaja hapa ni zile muhimu kiuchumi TRUNK ROAD ...siongelehi barabara za mwananyamala kwa kopa!!!

Uwezo wetu kipesa asa a nation, ni bara bara za kifusi ni mpka atupewe na wafadhili ndio tunaweza kueka bara bara za trunk road, lakini nazo pia haziwezi kujengwa in two years kwenye power!

2.
..hayo madarasa yaliyojengwa hayana walimu ,...does it worthy to be called schools.....lets be serious na elimu jamani....ndio maana mitihani ya form two imefutwa kwa kuwa shule za kata wangefeli wote..hawana walimu!!!

tusingenunua Radar, haya yasingetukuta, tusingenunua ndege mbovu ya rais haya yasingetukuta, hela alizonazo Chenge, kule New Jersey zinaweza kulipa mishahara ya waalimu na pension zao, tena wa taifa letu zima for the next 10 years, lakini alizichota kwa baraka za Mkapa, mkuu hapa ni mahakama tu inayoweza kuamua sio sisi public tena, viongozi wasafi huenda kwenye sheria tu!
 
si tunataka kukomesha ufisadi lakini au?
sasa kwa nini iwe yeye na kundi lake tu na wengine katika awamu ya mwinyi je?. au wale wa awamu ya mwinyi wako juu ya sheria?.

One at a time, wote tutawafikia mmoja baada ya mwingine lakini hatuwezi kuacha kusimamia sheria zetu kwa hizi weka argument mbona na wengine waliiba, hapana mkuu ushaidi uliopo unawatuhumu mkapa na wenziwe, na the good thing ni kwamba ni hao hao waliokuwa viongozi wa Mwinyi, kwa hiyo hakijaharibika kitu,

Lakini kama argiment yakoo ina simama, basi waliojiuzulu wote warudi, au?
 
Zanaki said:
Kwanza Mkapa aliitelekeza sana familia ya Mwalimu,na Mama Maria likuwa bitter sana nae,na ndio maana alimuembrace JK tokea mwanzo.Serikali ya Mkapa ilitakiwa kujenga ukuta wa kuzunguka eneo zima pale msasani,na yule mama maskini alizungushwa mwishowe akamua ajenge ule ukuta mwenyewe,walivyosikia wakina Mary Nagu at the time kuwa Mama Maria kaamua kujenga ukuta mwenyewe,ndio wakamkimbilia ili wajenge,sasa sijui kama walimalizia wao au ni yeye mwenyewe.

wandugu,Zanaki,

..mwaka 1995 nyumba ya Mwalimu ya msasani ilifanyiwa matengenezo makubwa.

..Mwalimu alijenga nyumba ya msasani kwa kutumia mkopo wa benki. baadaye akaiuza nyumba hiyo kwa serikali ambayo ilimalizia mkopo huo. alipojiuzulu uongozi serikali ilimzawadia Mwalimu nyumba ya msasani.

..kijijini kwake Butiama serikali imemjengea nyumba mbili Baba wa Taifa. kwa ujumla serikali ilimjengea Baba wa Taifa na familia yake nyumba 3.

..vilevile Raisi Mkapa alimchagua Makongoro Nyerere kuwa mbunge wa Taifa. He didnt have to do that, ukizingatia kwamba Makongoro alihama CCM. Makongoro alikuwa akitoa kauli za ubabaishaji sana alipokuwa NCCR.

..mimi siamini kama Mama Maria anaweza kumnunia Raisi wa Jamhuri ati kwa kutowapa msaada familia ya Baba wa Taifa.

..Mama Maria hawezi kunungunika shida wakati kuna Mawaziri waandamizi walio-serve wakati wa Baba wa Taifa wanaishi ktk umasikini wa kupindukia.

..Hata pale msasani kuna waziri alifanya kazi na Mwalimu alikuwa akiishi kwenye nyumba haina hata madirisha--wanafunika na kanga. Hiyo ilikuwa ni aibu kubwa kwasababu Mwalimu akitoka na benzi lake lenye viyoyozi anaona jinsi waziri wake anavyotaabika.

..hii habari ya kusema Mama Maria alikuwa amenuna kwa kukosa msaada wa serikali hainiingii akilini hata kidogo.

NB:

..Zanaki naomba ufute hii kauli kwamba serikali imetelekeza familia ya Baba wa Taifa, na kwamba Mama Maria yuko bitter.
 
NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO,


Huu ni mwanzo wa mwisho wa wanasiasa wetu? huytu kaupata wapi ujasiri wa kuyasema haya ?JK watch out something is coming.

Very interesting!
 
4. MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA?

Ndugu yangu hivi Makapi alipoamua kutumia mamilioni ya watanzania kwa ajili ya kamati ili ifanye uchunguzi alitegemea majina ya akina nani yapelekwe kwake.
Aliamua kuificha ile ripoti kwa kutumia rungu la Urais lakini kwa faida ya Uenyekii wa CCM.Maslahi yaliyoangaliwa hayakuwa ya Nchi bali ya Chama cha CCM.

Ni kweli matokeo yangekuwa mengine sio haya tunayoyaona sasa ya kuendelea kuzalisha maafisadi ambao wameamua kuimeza nchi hii huku weakijua wanaogopwa na hakuna vyombo madhubuti vya kuweza kuwachukulia hatua.
Mkapa alikuwa na mawazo mafupi kama yako kuwa hiyo ripoti ingetoka na majina ya hao majambazi kujulikana na kuchukuliwa hatua Nchi ya Tanzania ingefutika katika ramanai ya Dunia kwani Tanzania si ya Watazania karibu milioni 40 ila ni hao wachache wenye majina yao katika ripoti hiyo.

5. JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI.

Tanzania sio KAWAWA,MSUYA,SALIMU,MWINYI,KIKWETE,LOWASA, SUMAYE AU BUTIKU.Tanzania niya Wanzania. Wengi wa hawa Watanzania sio wezi na ndo wanaowaangusha akina LOWASA,KARAMAGI,CHENGE nk. na sasa ni zamu ya Mzee wako "Makapi"

Kitila Mkumbo.
Heshima yako Mkuu.Nimejaribu kufikiri kichwa chako kina madini ya namna gani. Vitu unavyoongea ni kweli tupu na ni vizito kwelikweli.Ni mtu mwenye kuona ndani saaana ndo anaweza kushauri hatua kama hizo. Mimi nimekuelewa vizuri sana ingawa inakuwa vigumu kuukubali ukweli.
WanaJF anachojaribu kusema KITILA ni "Kunakuwapo dosari katika maumbile ya keki yako usikimbilie kuitupa keki hiyo tu, bali rekebisha kifaa kinachotumika kufyatulia keki hiyo, kwa sababu bila kufanya hivyo utaendelea kuzalisha keki yenye kasoro ilele"
 
WanaJF anachojaribu kusema KITILA ni "Kunakuwapo dosari katika maumbile ya keki yako usikimbilie kuitupa keki hiyo tu, bali rekebisha kifaa kinachotumika kufyatulia keki hiyo, kwa sababu bila kufanya hivyo utaendelea kuzalisha keki yenye kasoro ilele"

Mkuu Nyangumi,

Heshima mbele, kuna time and season ya kila kitu, as a nation politically na legally it is not in our interest kurekebisha kifaa, ambayo inapaswa kuwa a longterm national project with a lot of research na hela, sasa hivi tuna an-emergency and very urgent ishu ambayo inahitaji kuwa tackled now, nayo ni kuwakamata mafisadi wote na kuwafikisha kwenye mkondo wa sheria zetu za jamhuri as a starting point ya kuelekea kwenye kukitengeneza kifaa chetu kwa the longterm au permanently,

Boti limetoboka kwenye safari baharini, kinachotakiwa kwanza ni kuziba shimo temporarly ili maji yasiingie kwenye boti, mkifika nchi kavu ni kutengeneza lile shimo permanently, kama anavyosema Kitila! Otherwise tunawasikia loud and clear, wewe na Kitila!

Baharia ES!
 
Mkuu wa Medani CCM ni chama chetu sote ,wala rushwa na tusiokula rushwa tumo humo na wewe ukiwemo.Wacha tusubiri hatima maana bado ninakumbuka nilichowahi kutahadharisha kuwa hakitatokea. Nasimama upande huo ,tusubiri matokeo ya utabiri wako na imani yangu juu CCM mkuu kumpeleka Mahakamani Benjamin William Mkapa.
 
..mwaka 1995 nyumba ya Mwalimu ya msasani ilifanyiwa matengenezo makubwa

Hayo matengenezo makubwa una maana gani? Ukilinganisha na nini haswa? Umeshaingia kwenye ile nyumba? Ukiongelea matengenezo makubwa,nadhani tunaongelea level ya nyumba ya rais au PM,maana hata Lowassa alifanya matengenezo makubwa sana baada ya kuhamia.Mkapa ile nyumba yake ya Sea View ilifanyiwa matengezo makubwa sana,pamoja na kwamba ni nyumba ya NHC.Sasa kama walifanya matengenezo makubwa 1995,kwa nini ukuta ujengwe 2006? Kilichobadilishwa ni madirisha na kupigwa rangi,nenda kajionee mwenyewe,jifanye unatembea tu kule beach na utaona vizuri tu.

..Mwalimu alijenga nyumba ya msasani kwa kutumia mkopo wa benki. baadaye akaiuza nyumba hiyo kwa serikali ambayo ilimalizia mkopo huo. alipojiuzulu uongozi serikali ilimzawadia Mwalimu nyumba ya msasani
Whats your point here,kwamba serikali imemrudishia nyumba aliyowapa au? Hilo la yeye kuiuzia serikali silijui,ila najua aliwapa serikali iwe ni makao ya rais mpya,na wao wakamrudishia.

..kijijini kwake Butiama serikali imemjengea nyumba mbili Baba wa Taifa. kwa ujumla serikali ilimjengea Baba wa Taifa na familia yake nyumba 3
Argument yangu haikuwa serikali...ilikuwa serikali ya Mkapa.Pia correct your statement,ni nyumba mbili,moja ilijengwa na JKT na nyingine JWTZ nafikiri.Kumbuka pia nae ana nyumba magomeni aliyowapa serikali,na wanaitumia kama makumbusho yake,watu wanatakiwa kulipa wakiingia kwenye hio nyumba,unajua pesa hizo zinaenda wapi? Serikalini.

..vilevile Raisi Mkapa alimchagua Makongoro Nyerere kuwa mbunge wa Taifa. He didnt have to do that, ukizingatia kwamba Makongoro alihama CCM. Makongoro alikuwa akitoa kauli za ubabaishaji sana alipokuwa NCCCR.
Kauli za ubabaishaji ni zipi,tutolee mfano basi.Na ni mwanasiasa gani Tanzania ambaye hatoi kauli za ubabaishaji? Since when has that become a crime in this country? UMesahau pia kuna mtoto mwingine wa Mwalimu alikuwa mbunge kupitia viti maalum wakati huo.Makongoro kupewa ubunge ni kwa sababu he probably deserved it.Kama aliweza kumshinda Mrema Arusha mjini,hudhani kama alistahili? Mbona wako wengi tu waliopewa ubunge na hata uwaziri waliotoka upinzani,Masha,Malima,Nsanzugwako etc

..mimi siamini kama Mama Maria anaweza kumnunia Raisi wa Jamhuri ati kwa kutowapa msaada familia ya Baba wa Taifa.

..Mama Maria hawezi kunungunika shida wakati kuna Mawaziri waandamizi walio-serve wakati wa Baba wa Taifa wanaishi ktk umasikini wa kupindukia

Sikusema alinung'unika,nilisema yuko bitter,direct translation ana machungu.and it is a fact!
Hao mawaziri wa zamani waoishi kwa shida,hilo halimuhusu,cha kwanza kujali kama mama ni familia yake,yeye hakuwa kiongozi wa taifa,Nyerere mwenyewe alikataa hata Mama Maria kuitwa First Lady.

..hii habari ya kusema Mama Maria alikuwa amenuna kwa kukosa msaada wa serikali hainiingii akilini hata kidogo.

NB:

..Zanaki naomba ufute hii kauli kwamba serikali imetelekeza familia ya Baba wa Taifa, na kwamba Mama Maria yuko bitter

Inategemeana inaingalia hio kauli kwa upande gani.Kama ni Mkapa,obviously hutaiona kwa sababu at the time Mkapa alikuwa bize sana na issue nyingine kuweza kum notice huyu Mama,wakati kwenye mazishi ya Mwalimu aliahidi kuijali na kuihudimia familia ya Mwalimu.

Yote niliyosema hapa ni fact,na ukitaka ukweli nimetaja mtu wa kwenda kumuuliza
 
huyu mr dirty hawezi kuongea na wanahabari wala kujitokeza kujibu tuhuma"jamani mmnesahau alivyo upta urais wakati ule alipo hojiwa na cnn alishindwa kuhimili yale maswali..."!! nionavyo mimi ni heri kinga ya marais wote duniani ingetolewa ili wawe na adabu maana wanafanya ufisadi kwa kujua wanakinga ya urais
 
Back
Top Bottom