Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Kwa kuongezea kwenye hoja za Mzee Kichuguu:

Baada ya kadhia ya NETGROUP Solution inayosadikiwa kwamba ilisababisha kuondolewa kwa Bwana Maokola-Majogo pale wizara ya Nishati na Madini na kupelekwa kwenye kuondoa umasikini (ofisi ya makamu wa rais), Rais alitamka wazi kwamba kuanzia wakati huo mikataba mikubwa mikubwa yote itakuwa inapitia Ofisi ya Rais. That was so strange, kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na mwanasheria mkuu wa serikali, katibu mkuu wa wizara au waziri? Kwanini mikataba mikubwa ipitie Ofisi ya Rais? Hapo kuna ukungu mzito ambao mpaka leo hii bado ninajiuliza. Matokeo yake ndiyo hayo ya mikataba mibovu ambayo imedumu kwa kipindi chote mpaka BWM anaondoka madarakani. Katika kipindi cha miaka 10 ya utawala wa huyu mzee wetu sijasikia mkataba hata mmoja ambao umesifiwa kwamba ulikuwa na maslahi ya nchi. Alichosema Anne Kilango Malecela ni ushahidi kwamba mikataba mingi ya hapa kwetu Bongo ni uozo mtupu na inajali zaidi maslahi binafsi na kuweka nyuma maslahi ya Taifa.

Kuhusu Sumaye, nina uhakika kwamba kama angekuwa alihusika kwenye hizo kashfa lazima angekuwa alishaunganishwa. Kilichowazi ni kwamba pamoja na kufanya mambo yake kwa uwazi, he thought that he was doing in a right way na kumbe kuna watu ambao walikuwa wanazunguka kumpaka matope kwa malengo ya kwao. Mengi yamesemwa kuhusu wana mtandao walivyo mshughulikia. Jiulize leo hii, ilikuwaje mara baada ya kubwagwa kwenye kusaka tiketi ya kugombea IKULU kwa tiketi ya CCM hatukusikia tena kashfa za kumhusu Sumaye????
 
Kiwira coal power project: Mkapa-Yona: The link gets stronger

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FORMER president Benjamin Mkapa and senior cabinet minister Daniel Yona together oversaw the formation of Tanpower Resources Company Limited, the private local company holding at least 85 per cent shares in the pending, $271.8m (approx. 340bn/-) Kiwira coal-fired power project in Mbeya Region, it has now been established.

Our investigations have revealed that Tanpower Resources was officially registered on December 29, 2004, when Mr Mkapa was still the sitting president of the United Republic and Yona was the minister in his government directly in charge of both energy sector and mining sector affairs.

At the time of the company's establishment, its first listed directors were the then first lady Mrs Anna Mkapa; the then minister for energy and minerals Daniel Yona; Nicholas Mkapa (the president and Mrs Mkapa's son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa's father-in-law); and Evans Mapundi.

According to our findings, it was the same company that in mid-2005 secured up to 85 per cent of the shares in Kiwira Coal and Power Limited, a once fully state-owned enterprise that has now entered into a controversial contract with the Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) for the supply of 200MW of power to the national grid.

When this shares exchange deal took place, both Mr Mkapa and Yona were still holding their all-powerful positions in the third phase government. The remaining 15 per cent shares in Kiwira Coal and Power Limited were formally retained by the government.

And in what could loosely be construed as 'perfect timing', the takeover bid by Tanpower Resources occurred right in the middle of advanced negotiations between TANESCO and Kiwira Coal and Power Limited for the coal mine to start substantial generation of power for supply to the national grid.

These negotiations culminated in the signing of the increasingly-questionable, 20-year power purchase agreement (PPA) between TANESCO, Kiwira Coal and Power Limited, and the government of the day in March 2006.

Amongst many other things, some stated objectives of Tanpower Resources are to ''carry on the business of miners of coal and iron, to process such coal and iron and generally treat, prepare, render marketable, sell and dispose of such coal and iron or by-products resulting therein in their raw or manufactured state.''

The company was also licensed to ''deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants.''
Mrs Mkapa served on Tanpower Resources' first board of directors through ANBEM Limited, a private company she co-owns with Mr Mkapa in which they are listed as sole shareholders, directors and 'entrepreneurs,' which was formed in 1999 when the couple were still at State House.

Yona is represented in Tanpower Resources through a private company called DEVCONSULT Limited, in which he owns 90 per cent of the shares while his own son, Danny Yona, holds the remaining 10 per cent.

Before being appointed minister for energy and minerals - a position he served until the end of the Mkapa administration in December 2005 - Yona held a number of other key portfolios under the ex-president, including minister of state in the president's office (planning), and minister of finance.

It has also been established that Mr and Mrs Mkapa's son, Nicholas, has his own shares in the same Kiwira and Coal Power Limited company, via Tanpower Resources, through another company going by the name of Fosnik Enterprises Limited.

Records show that Mkapa junior owns Fosnik Enterprises on a 50-50 basis with his wife Ms Foster (Mbuna) Mkapa, while his father-in-law Joseph Mbuna is also one of the shareholders and major figures in Kiwira Coal and Power Limited through yet another company, Choice Industries Limited, which also falls under the umbrella of Tanpower Resources.

Other shareholders of Kiwira Coal and Power Limited company have been identified as Evans Mapundi and Wilfred Malekia through the Universal Technologies Limited company, also under Tanpower Resources.

Interestingly, the companies owned by Nicholas Mkapa and wife (Fosnik Enterprises), father-in-law Joseph Mbuna (Choice Industries), Mapundi and Malekia (Universal Technologies) all share the same postal address - P.O Box 8764, Dar es Salaam.

The government continues to formally hold 15 per cent of the shares in Kiwira Coal and Power Limited.

According to THISDAY's government sources, signs of potentially disastrous discrepancies in the multi-billion shilling contract between TANESCO and Kiwira Coal and Power Limited are now beginning to emerge as delays continue to hamper the still-pending launch of the project � more than 16 months since the signing.

The sources, who are privy to the details of the contract, say there are now growing fears that the deal could eventually turn out to be another expensive trap for the national economy, along the same lines as the infamous 1995 IPTL affair.


They say TANESCO could end up being liable to pay Kiwira Coal and Power Limited a staggering $6m (approx. 8bn/-) each month once the firm starts delivering on the agreed 200MW of electricity, which would bring TANESCO's monthly obligations to three independent power producers (IPTL, Songas and Kiwira) to a figure exceeding $20m (approx. 26bn/-).

According to the sources, this is well beyond the estimated $19.35m (around 25bn/-) per month that TANESCO currently earns from its revenues, and will therefore inevitably necessitate yet another power tariff hike of up to 30 per cent by TANESCO.
 
Kuna kila dalili kwamba mkewe BWM yuko nyuma ya hizi dili. Simtetei lakini haiingii akilini kama BM kubadilika ghafla hivi uzeeni.

Hata wakati wa Mzee Ruksa, mkewe hakuwa nyuma kwa madili; tofauti tunayoiona hapa ni kwamba huyu wa BWM ni smart zaidi.
 
Kakalende,

Hilo la Mkapa kubadilika linatoka na Nyerere kuwaambia Watanzania kwamba Mkapa alikuwa clean.

Nijuavyo mimi pamoja na watu wengi waliokuwa wanaomba scholarship pale wizara ya elimu ya juu enzi hizo, Mkapa na kundi lake kama prof. Mahalu walikuwa wanachukua pesa ili kutoa baadhi ya scholarship. Sisemi kila mtu alikuwa anatoa pesa ili kupata scholarship, ila kuna watu walikuwa wanafanya hivyo na Ben
na Mahalu walikuwa ni wateja wa hilo jambo.

Kwa miaka hiyo rushwa zilizokuwa ndogo ndogo za namna hiyo. Je Mkapa ni kweli alikuwa clean? Hilo ni ngumu kujua, mimi nitasema hakupata nafasi ya kuiba maana angalikuwa clean kweli
asingehusika na baadhi ya mambo yaliyokuwa yanafanyika miaka hiyo pale elimu ya juu.
 
Ndugu zangu,

Hizi ni tuhuma tu, hatuna data kamili!!!!

FD


FD,

Hivi unafikiri data kamili zitapatikana hapa JF au kwenye This Day? Forget. Hapa wananchi na Gazeti wanajaribu kuwa Whistle Blowers. Sasa ni juu ya serikali kufuatilia. Skandali nyingi zinanzishagwa na nyombo vya habari mahali popote duniani ila namna ya ufuatiliaji ndiyo huwa inatofautiana. Offcourse kwa TZ wataandika mpaka wachoke wenyewe. Si unaona suala la Balali lisha sahaulika!!!
 
Mtanzania,
Ukichukua 1995 comparatively, Mr. Mkapa was clean. Lakini jambo ambalo Mwalimu hakujua wakati huo ni kwamba naye alikuwa ameanza tamaa ya kuchukua kidogo kidogo. Lakini in 1995 usingeweza kucompare Mkapa na Lowassa, au hata Mwungwana.
 
Tatizo si nani anamiliki hiyo kampuni ya Kiwira Coal Mine bali ni huo mkataba ambao utailazimisha TANESCO kununua umeme kwao. Tayari tuna matatizo ya kulipa IPTL kwa kuwa hakukuwa na umakini katika kuratibu huo mkataba, sasa sioni kwa nini TANESCO iingie mkataba ambao hauna maslahi ya kwa taifa. MD wa TANESCO alishalalamikia ucheleweshwaji wa kutekelezwa kwa mkataba wa kuwapa umeme toka KIWIRA, je wamezikubali sababu zilizotolewa na Kiwira? Mamuzi yanayofuata sura ya nani yuko nyuma badala ya faida za kiuchumi na sheria ndiyo yanayotuumiza. Usomi wetu uko wapi Watanzania tunapoingia kwenye menejimenti??
 
msavila chukua 5.



Mimi inaniuma hawa watu wanakosa uzalendo...umiliki wa kampuni sio hoja na mimi wala hainoseshi usingizi nani anamiliki nini. Tatizo ni hii mikataba mibovu ya kuliangamiza Taifa.

Kwani ilishindikana vipi hawa ndugu kumiliki haya makampuni na kupata faida ya halali kama walivyo wafanyabiashara wengine duniani kote. Ukishakuwa na mkataba wa kuipa Tanesco 20% ya umeme wote nchi nzima, hiyo haitoshi kukupa faida nzuri tu wewe na vizazi vyako?

Hivi ni lazima tuibe JAMANI...!!!!!
 
Yebo Yebo,
Huko kwenye umiliki ndiko mwanzo wa matatizo yote.

Inabidi ujiulize kwanza, huo ulikuwa mgodi wa nchi, je hao akina Mkapa walinunua kwa pesa ngapi? Kwa kujichukulia tu huo mgodi tayari wameliingiza taifa kwenye hasara ya mabilioni.

Nyerere alimwuliza Lowasa utajiri ametoa wapi? Kiongozi lazima aweze kueleza bila ubabaishaji juu ya pesa zake zimetoka wapi. Huwezi uwa na mali zote hizo kwa kuwa mwanasiasa tu.
 
Kumiliki haya makampuni huwa kunakuwa na mizengwe mimi sana Afrika mpaka Ulaya (sina maana ya kuhalalisha hiyo mizengwe); ila mimi naona kama ukishafanya mpango ukaweza kumiliki kampuni then ukaweza kupata mkataba kama huo kwa nini tena utake kuibia nchi yako...???

Bakhresa wa Azam tulisikia alipewa yale majengo ya NMC kama kifuta machozi na serikali; lakini mbona yeye anaendelea ku-deliver unga wa sembe na ngano kwa wananchi bila kutuhujumu (at least sijasikia) yeye anapata faida yake analipa kodi yake...mambo swafi. taifa na yeye kama mfanyabiashara wote wananufaika...lakini hawa wakina Mkapa & Co wanakwiba tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Ndio maana R. Mengi ni Role Model wangu...sijali anamiliki makampuni mangapi; ili mradi nikienda dukani napata Colgate, Revola na Coca cola zenye viwango vinavyotakiwa mimi wala silalamiki, roho nyeupe...Salute

Kwa nini hawa waheshimiwa wengine wasimiliki hayo makampuni na kufanya biashara HALALI....NI LAZIMA WAIBE...!!!
 
Yebo Yebo,
Huko kwenye umiliki ndiko mwanzo wa matatizo yote.

Umiliki ni nguvu katika biashara. Akimiliki adui yako au mwizi, basi umekwisha. Ndiyo yanayotukuta watanzania leo katika mikataba mingi. Hatuna nguvu katika biashara nyingi kwa sababu wanaozimiliki ama ni wezi au hawana mapenzi na usalama wa meli yetu-Tanzania.
 
Kwa nini hawa waheshimiwa wengine wasimiliki hayo makampuni na kufanya biashara HALALI....NI LAZIMA WAIBE...!!![/B]

Aliyezoea vya KUNYONGA vya KUCHINJA ataviweza? Wengi hawawezi kufanya biashara halali, watafilisika baada ya muda mfupi.
 
Kuna kila dalili kwamba mkewe BWM yuko nyuma ya hizi dili. Simtetei lakini haiingii akilini kama BM kubadilika ghafla hivi uzeeni.
smart zaidi.

Niko na wewe kwenye hili. I actually am, almost positive.
 
Mtanzania said:
Inabidi ujiulize kwanza, huo ulikuwa mgodi wa nchi, je hao akina Mkapa walinunua kwa pesa ngapi? Kwa kujichukulia tu huo mgodi tayari wameliingiza taifa kwenye hasara ya mabilioni.

hivi siyo kwamba serikali kwamba serikali inasema kuna mgodi una-deposit X ya madini Y, na tunatafuta kampuni/mwekezaji wa kuyachimba. serikali vilevile hueleza kiwango cha royalty na shares na kodi. baada ya hapo hujitokeza makampuni yenye interest.

pamoja na hayo, unayo hoja unapohoji: kwanini serikali haimiliki baadhi ya hii migodi? au at least kuwa na share kubwa zaidi?

kakalende said:
Kuna kila dalili kwamba mkewe BWM yuko nyuma ya hizi dili. Simtetei lakini haiingii akilini kama BM kubadilika ghafla hivi uzeeni.

...wote wamebadilika toka kuwa watumishi wa kawaida wa serikali[mkapa], na mashirika ya kimataifa[mama mkapa], na kuwa wafanyabiashara wakubwa. tunamuonea huyu mama tunapodai kwamba yeye ndiye amemlazimisha mkapa kujiingiza ktk biashara.

hivi mkapa tunayemjua, na kiburi na msimamo wake, ni mtu anayeweza kuburuzwa tu na mkewe?

kwa mtizamo wangu Mkapa alionekana si mlarushwa kwasababu wizara[habari,mambo ya nje,elimu ya juu] alizoongoza zilikuwa hazina mianya na ushawishi wa kula rushwa.

MAONI YANGU:
1.Haileti picha nzuri, Mkapa na Yona, kushiriki biashara while they are still in office. Mbaya zaidi ni kwamba kampuni waliyoanzisha inashughulika na sekta ambayo Daniel Yona alikuwa akiongoza.

2.Hata kama sheria za Tanzania hazikatazi mambo kama hayo, Mkapa na Yona should have known better. Just common decency would make one hesitant to be involved in such a project.

MASWALI ZAIDI KWA THISDAY && JAMBOFORUMS:
1.Je kulikuwa na mabadiliko yoyote yasiyo ya kawaida ktk mkataba wa Tanesco na Kiwira Power kutokana na kubadilika kwa wamiliki wa kampuni?

2.Kwanini mradi huu ni mbaya? Vigezo gani vimetumika kufikia conclusion hiyo?
 
Kinachotokea Tanzania sasa ni kama ilivyokuwa Urusi wakati wa Yeltsin. Matajiri waliibuka kutoka zero kwa kutumia connection zao, ndio hao ma Oligarchies. Putin ameweza kuweka stop na kila mtu anasikia kelele za watu Ulaya magharibu na Marekani dhidi yake. Swala ni kuwa je JK anaubavu wakuweka line kuwa sasa basi na mtueleze mlikopata hizo njenje? Kinachotokea TZ si kigeni katika nchi zinazotoka kwenye mfumo wa udhibiti wa serikali kwenda soko huria. Wenzetu huweka sheria zitakazoongoza mabadiliko/mageuzi haya, sisi tunaogopa kuweka kanuni hizo tukihofia kujichinja. Hilo ndilo Tatizo kwetu.
 
Kumiliki haya makampuni huwa kunakuwa na mizengwe mimi sana Afrika mpaka Ulaya (sina maana ya kuhalalisha hiyo mizengwe); ila mimi naona kama ukishafanya mpango ukaweza kumiliki kampuni then ukaweza kupata mkataba kama huo kwa nini tena utake kuibia nchi yako...???

Bakhresa wa Azam tulisikia alipewa yale majengo ya NMC kama kifuta machozi na serikali; lakini mbona yeye anaendelea ku-deliver unga wa sembe na ngano kwa wananchi bila kutuhujumu (at least sijasikia) yeye anapata faida yake analipa kodi yake...mambo swafi. taifa na yeye kama mfanyabiashara wote wananufaika...lakini hawa wakina Mkapa & Co wanakwiba tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Ndio maana R. Mengi ni Role Model wangu...sijali anamiliki makampuni mangapi; ili mradi nikienda dukani napata Colgate, Revola na Coca cola zenye viwango vinavyotakiwa mimi wala silalamiki, roho nyeupe...Salute

Kwa nini hawa waheshimiwa wengine wasimiliki hayo makampuni na kufanya biashara HALALI....NI LAZIMA WAIBE...!!!

Hiyo Bure au bei yakutupa waliompaa Bakhresa na wasi wasi nako.
U never know ndio share zao hizo , kama sio basi walipewa Pembeni. na kwa kumtumia BWM, Bakhresa ali invest Malawi wakati Wa Bakili Muluzi, maana wote hawa ni Marching Guys ( Wajisariamali)
 
Kwa nini kina BWM na hawa wanasiasa wengine waqnaojiita wajasiriamali wasingeonyesha mfano na ku-invest kwenye kilimo? Hata kama wangekuwa wameiba tungewasamehe kwa kweli! Ndio maana namuheshimu sana Sumaye
 
Ndugu zangu,

Hizi ni tuhuma tu, hatuna data kamili!!!!

FD
__________________
FIKIRADUNI

Ndugu yangu Fikiraduni, ni ushahidi gani unaoutaka? ama ndio kama ule wa Mkapa kuwataka wanaotuhumu wala rushwa waache wivu na wapeleke ushahidi? Haya ya Mkapa ushahidi ni wazi wazi kabisa.. Nenda BRELA utaona nani wanamiliki nini.MASWALI ZAIDI

KWA THISDAY && JAMBOFORUMS:
1.Je kulikuwa na mabadiliko yoyote yasiyo ya kawaida ktk mkataba wa Tanesco na Kiwira Power kutokana na kubadilika kwa wamiliki wa kampuni?

2.Kwanini mradi huu ni mbaya? Vigezo gani vimetumika kufikia conclusion hiyo?



THISDAY wameandika na ninavyoelewa ni kwamba Mkataba kati ya TANESCO na Kiwira ulisainiwa baada aya Mkapa na Yona kuichukua KIWIRA, kwa hiyo mabadiliko ya mkataba kabla ya kina Mkapa na baada hayapo.

Suala la mradi huu kuwa mbaya...

1-Kwanza binafsi ubaya unaanzia pale ambako Dr Msabaha alipowatangazia watu wakati wa kusaini kwamba Kiwira watazalisha MW 200. Alisema 50MW za kwanza zitaanza kuzalishwa JULAI 31, 2007. Hii ni Agosti, lakini wanazalisha MW sita tu ambazo ni kwa matumizi yao, kiwango ambacho kinazalishwa viwanda vingi vya sukari nchini kwa matumizi ya viwanda hivyo. Wamesema kwanza MW 50 za kwanza zitaanza kuzalishwa miezi 18 baada ya Septemba 2007. Lakini kibaya zaidi ni kwamba mkataba huo una mianya mingi yenye manufaa zaidi na Kiwira kuliko serikali.

2-Pia kuna ubaya mkubwa katika suala la kuwa Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri, ambaye ndiye aliyemteua Waziri wa Nishati na Madini, amnbaye ndiye Daniel Yona, kuwa na hisa katika kampuni ambayo imepewa Kiwira yeye na Waziri wa nishati na Madini. Na Waziri huyo ndiye aliyendaa na kusimamia waraka wa Baraza la Mawaziri kuhusu Kiwira kupewa kampuni yao na Rais na familia zao. Hapo ni pabaya na pagumu tena kwa shinikizo.

LAKINI HATA KAMA MRADI UNGEKUA MZURI NA WENYE MANUFAA KWA TAIFA BADO KWA RAIS NA WAZIRI MWENYE DHAMANA NA NISHATI KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA NSHATI INGEKUA TATIZO NA INGEONEKANA KUWA WAMEJIPENDELEA WAPATE FAIDA KUBWA KWA MRADI WENYE FAIDA (japo kwa KIWIRA HAKUNA KITU ni MAUMIVU KWA TAIFA NA PENGINE KWA SEKTA YA NISHATI NA UWEKEZAJI).

KUNA HATARI PIA KUKAWA NA MIKOPO AMBAYO TAIFA LINAWEZA KUINGIA KATIKA KUILIPA KAMA ITAKUA CHINI YA DHAMANA YA BoT.

DOKEZO:
NILIWAHI KUSIKIA KWAMBA BENKI YA DUNIA ILITOA MKOPO KWA AJILI YA MRADI MMOJA WAPO WA MKAA WA MAWE NA ALIYESAINI ALIKUA MKAPA WAKATI AKIWA BALOZI WETU MAREKANI ALIPOCHUKUA NAFASI YA DR SALIM AHMED. SASA SINA HAKIKA KAMA NI MRADI HUO AMBAO SASA UNAMNUFAISHA YEYE. KWA ANAYEJUA ATUSAIDIE HASA WATU WA STAMICO, NA WIZARANI AMA HAO THISDAY
 
Back
Top Bottom