Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Waungwana,
Nimeangalia your reactions! Some of us don’t want any opinion in support of BWM- kwao BWM ni mtu aliyeshindwa ni hakuwa mwadilifu! Pia alikuwa Chinga Mlafi! Mimi nilijaribu kuangalia upande mwingine wa shilingi! Hivi wapo Chinga ambao sii walafi? Mfano may be Kingunge? Teh teh teh.... Michango mingine were so interesting!

Hebu tulinganishe BWM na Viongozi wengine wastaafu majirani- How would you rate the following on performance domestically and internationally?
I: Criteria- Domestic, (Promotion of peace and stability, economic growth, fighting corruption, human resource investment, infrastructure development)
II: Criteria- International (Peace Building in other countries, contribution to African Co-operation, SADC Liberation, Contribution at AU, SADC, EAC, UN).

Mimi analysis yangu ningewapa rating ifuatayo:

A: Zambia Domestic : International
1. Fredric Titus Chiluba- (40% ) (50%)
2. Kenneth Kaunda (70%) (80%)

B: Mozambique
1. Joachim Chisanno (60%) (75%)
2. Samora Michael (60%) (70%??)

C: DRC
1. Patrice Lumbumba (50%) ( 60%)
2. Sese Seko Mobutu (10%) (10%)
3. Laurent D Kabila (40%) (40%)

D: Uganda
1. Milton Obote (40%) (50%)
2. Field Marshal Idd Amin (05%) (0%)
3. Yusuf Lule (20%) (20%)
4. Godfrey Binaisa (20%) (20%)
5. Tito Okelo (10%) (05%)

E: Kenya
1. Jomo Kenyatta (75%) (65%)
2. Danieal Arap Moi (70%) (50%)

F: Malawi
1. Hastings Kamuzu Banda (40%) (50%)
2. Bakili Muluzi (50%) (50%)

G: Burundi
1. Ndaezieye (50%) (40%)
2. Piere Buyoya (50%) (50%)
3. Ntibatunganya (50%) (50%)

H: Rwanda
1. Gregoire Kayibanda (50%) (50%)
2. Juvenal Habiarimana (40%) (50%)

I: Tanzania
1. JK Nyerere (65%) (85%)
2. AH Mwinyi (55%) (65%)
3. BW Mkapa (60%) (75%)

Hii rating inawaweka Nyerere, Chissano, Kaunda on international achievements very high (over 70%) . Mimi naona kiuchumi domestically Kenyatta ndo aliyefanikiwa zaidi (75%) ktk eneo hili. Amini amepata 0% internationally ingawa OAU summit ilifanyika Uganda 1976.
BWM ukumlinganisha na wengine in a wider world katika hili enoe (pamoja na ulafi wake!) he is better than others!
Waungwana mnaonaje?

Gee! Mkapa is better that others!? In what sense!? and what criteria did you use to come up with your ranking!?
 
Bubu,
Wewe ungempa ngapi BWM ukilinganisha na wengine? Criteria are specified hapo juu ya %s!

ZERO, SIFURI, ZILCH!!! and the reason behind there are no Tanzanians who were able to benefit in ANYTHING from his era with exception of himself, family and relatives as well as Tanzanians from well to do families and wala RUSHWA. In short, He was a total FAILURE and was so busy accumulating wealth.
 
Bubu,
Walafi in this region walikuwa wengi- hakuwa BWM pekee! Chiluba naye pia alikuwa mla rushwa zaidi!
Huyo mzee wewe inaonekana humpendi kabisa!
 
Bubu,
Walafi in this region walikuwa wengi- hakuwa BWM pekee! Chiluba naye pia alikuwa mla rushwa zaidi!
Huyo mzee wewe inaonekana humpendi kabisa!

Why should I like some one with so many scandals during his era in office, and he is not ready to address those scandals in public!? I am worried about my beloved country and my fellow countrymen, ya Chiluba nawaachia Wazambia wenyewe na Chiluba wao...kumbuka mshika mbili...
 
Mzalendohalisi,

Hapana ndugu yangu sii kwamba tunamkandya BWM ila tunajaribu kutazama hiyo shilingi kwa pande zote mbili.. Kichwa (head) ni hiyo +3 na mkia (tail) tumeikuta hiyo -7.
Hapa nilipo siwezi kabisa kuwapa viongozi points ikiwa viongozi hao wameikuta nchi yao ikiwa mathlan nafasi ya 120 ktk maendeleo ya nchi duniani lakini hao viongozi hasa hawa wapya wameshindwa kabisa kuirudisha nchi yao ktk nafasi ile waliyoipokea.

Tunapozungumzia kuendelea tukumbuke kuwa kila nchi duniani huendelea kwa kiwango fulani, hata Ukerewe ya mwaka 1960 si hii ya leo kuna changes nyingi sana lakini pato na maisha ya mwananchi wa Ukerewe inawezekana kabisa kuwa mwaka 1960 walikuwa na unafuu zaidi ya leo pamoja na kwamba kuna maendeleo makubwa ya Kiumri.
Hata hiyo Haiti na New Guinea zimepiga hatua fulani tofauti na zamani lakini unapozitazama kidunia maendeleo yao ni sawa na Zero kwa sababu wamebakia nafasi zilezile walizoachwa na mkoloni. Hatuwezi sema leo hii tuna mafanikio fulani kwa sababu population yetu kubwa kuliko 1960! ama pato la taifa linasomeka kama ni billioni 100 badala ya billioni moja ya mwaka 1960, hapa ni lazima tuzingatie pia thamani ya hiyo billioni 100 kwa population ya watu wake na hasa sayansi inavyozidi kutawala chumi zetu.
Mwaka 1960 watu waliweza jenga JUMBA kwa gharama iliyozidi kidogo 20,000 leo hii kama huna millioni hupati hata kiwanja!.. haya ni maendeleo nayoyaita mimi ya Kiumri!..

Kweli leo hii unaweza mpa mtu points kwa ujenzi wa daraja kitaifa hali daraja ni mpango wa manispaa ktk nchi za wenzetu tena madaraja kama hayo yamejengwa miaka 100 iliyopita!..sasa kweli haya sii makuzi ya Umri!
Je, wale waliojenga reli, viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli za usafirishaji n.k. Ebu nambie ni nchi ngapi hapa Afrika zimeweza jenga miundombinu ambayo leo hii unaweza kumleta mkoloni akasimama na kusema YES ama kweli kuna maendeleo. Kila kitu kimejengwa na mkoloni yule yule na vingine tunafanya kukopeshwa! elimu ya ujenzi wa miundombinu hiyo hadi leo hatuna mbali na fedha!.. tumeendelea kitu gani hasa ikiwa hata elimu yetu imesimama! Mzalendohalisi, Afrika imebadilika kwa ukubwa wa umbo kama vile miimi nilivyoshtuka kuwakuta wadogo zangu wameisha kuwa mibaba mizima. Kuwa na mke na watoto ni wajibu siwezi kuyaita haya ni maendeleo ikiwa bado analishwa na wazazi.
Utanisamehe, kwa Tanzania kusema kweli mimi namwona Nyerere pekee ndiye kiongozi pekee aliyeweza itoa Tanzania ktk nafasi ya chini kabisa kabla ya Uhuru na kuiweka mahala ambapo pamoja na uchumi mbaya kati ya miaka ya 1978 hadi 1982 bado tulikuwa juu ya nafasi aliyotuacha mkoloni. Kwa hiyo ni kama vile alitengeneza Tanzania kwa points +7 na kisha Ujamaa ulipokorogwa katurudishwa - 4, bado aliweza bakia na hiyo 3. Hizi points 3 kimaendeleo tumekuwa tukipoteza kila awamu. Mwinyi aliweza gonga +4 lakini kapoteza 5.
Hao wengine wote viongozi wa Afrika hasa baada ya viongozi wa kwanza sidhani kama kuna yeyote aliyeweza kumpiga mabao kiongozi wa kwanza kwa sababu nia na madhumuni ya kuutafuta Uhuru yaliweza jenga imani ya kuwawezesha wananchi wake badala ya kutegemea wakoloni ambao waliondoka kwa roho mbaya. Na ndio maana viongozi wa leo wamekuwa so relaxed na wabinafsi kwa sababu ya ujenzi wa Taifa huru uliotangulia. Ujenzi ambao uliweka misingi ya kuunda dola mpya ya falme za kiafrika zenye kuzingatia National security against its own people kwani mkoloni hakutuacha watupu bila kuzusha Home grown resistance.
Sasa kwa ujinga wetu tumeendekeza sana kuifanya National security kuwa na mahusiano makubwa na chama tawala kiasi kwamba ukijiunga na chama cha Upinzani basi wewe ni kati ya waleee!..wasio itakiwa mema nchi yetu.
 
Unajua hadi sasa mimi nashindwa kukubali kuwa haya madudu Mzee Ben anahusika nayo moja kwa moja ukitoa ukweli kuwa alioa mjanja na kuzaa hasara....

Tanzanianjema
 
Tanzanianjema,
Huyu mzee watu Bwana- wee acha tu! Sijui kitu kilichombadilisha akawa sii mwadilifu haswa hapa mwishoni utawala wake- may be kwa kuwa aliona Nyerere hayupo- na akina Malecela, Kingunge, Kawawa nao mbona hawakumuuliza?
Nafikiri tunahitaji sasa kungalia uadilifu zaidi ktk uongozi na sii uwezo tu! Sema watu wanakuwa wazuri mwanzoni kisha hubadilika!
 
Kitu kikubwa ni katiba ambayo haita mpa mamlaka ya Kimungu Raisi Yoyote.Maanake iko siku mtu atateua Mashemeji zake wote kuwa mawaziri,maana tumeoleana so anaweza kupata mashemeji toka kila jimbo/mkoa.
 
Waungwana,
Nimeangalia your reactions! Some of us don’t want any opinion in support of BWM- kwao BWM ni mtu aliyeshindwa ni hakuwa mwadilifu! Pia alikuwa Chinga Mlafi! Mimi nilijaribu kuangalia upande mwingine wa shilingi! Hivi wapo Chinga ambao sii walafi? Mfano may be Kingunge? Teh teh teh.... Michango mingine were so interesting!

Hebu tulinganishe BWM na Viongozi wengine wastaafu majirani- How would you rate the following on performance domestically and internationally?
I: Criteria- Domestic, (Promotion of peace and stability, economic growth, fighting corruption, human resource investment, infrastructure development)
II: Criteria- International (Peace Building in other countries, contribution to African Co-operation, SADC Liberation, Contribution at AU, SADC, EAC, UN).

Mimi analysis yangu ningewapa rating ifuatayo:

A: Zambia Domestic : International
1. Fredric Titus Chiluba- (40% ) (50%)
2. Kenneth Kaunda (70%) (80%)

B: Mozambique
1. Joachim Chisanno (60%) (75%)
2. Samora Michael (60%) (70%??)

C: DRC
1. Patrice Lumbumba (50%) ( 60%)
2. Sese Seko Mobutu (10%) (10%)
3. Laurent D Kabila (40%) (40%)

D: Uganda
1. Milton Obote (40%) (50%)
2. Field Marshal Idd Amin (05%) (0%)
3. Yusuf Lule (20%) (20%)
4. Godfrey Binaisa (20%) (20%)
5. Tito Okelo (10%) (05%)

E: Kenya
1. Jomo Kenyatta (75%) (65%)
2. Danieal Arap Moi (70%) (50%)

F: Malawi
1. Hastings Kamuzu Banda (40%) (50%)
2. Bakili Muluzi (50%) (50%)

G: Burundi
1. Ndaezieye (50%) (40%)
2. Piere Buyoya (50%) (50%)
3. Ntibatunganya (50%) (50%)

H: Rwanda
1. Gregoire Kayibanda (50%) (50%)
2. Juvenal Habiarimana (40%) (50%)

I: Tanzania
1. JK Nyerere (65%) (85%)
2. AH Mwinyi (55%) (65%)
3. BW Mkapa (60%) (75%)

Hii rating inawaweka Nyerere, Chissano, Kaunda on international achievements very high (over 70%) . Mimi naona kiuchumi domestically Kenyatta ndo aliyefanikiwa zaidi (75%) ktk eneo hili. Amini amepata 0% internationally ingawa OAU summit ilifanyika Uganda 1976.
BWM ukumlinganisha na wengine in a wider world katika hili enoe (pamoja na ulafi wake!) he is better than others!
Waungwana mnaonaje?

Unajua Ukitumia Laki Moja kununua kitu cha Shilingi moja utasema umefanya nini?

Ben amejenga barabara na mambo mengine lakini fikiria Ben Ametugharimu kiasi gani kama nchi kwa hayo unayosema maendeleo.

Kwangu mimi BEN ni mtu wa kulaaniwa tu. Hakika ametufikisha bapaya.

Ila huyu tuliyenae sasa hivi kwa kweli,Sijui,Ana Maneno matamu mno huku anachokifanya hakionekani.
 
KGM,
Ahsante kwa ujumbe ndugu. Mimi nimeangalia tu upande mwingine wa shilingi na kumlinganisha BWM na wastaafu wengine! One point kama ulivyosema viongozi wengi wastaafu ktk eneo ya EA walikuwa walafi na ni wachache tu waadilifu (Nyerere, Kaunda).
Ila may be kitu JK inabidi apate shule kwa BWM ni jinsi ya kujiandaa ktk interview! Huyu Muungwana wa sasa tumpe mda tumwangalie- sijui kama naye atabadilika mwishoni na kuwa mlafi! Ila amesikika akisema hatafanya biashara akiwa Ikulu!
 
Kiongozi ambaye hakuwa mlafi (South East Africa, forget abuot the rest of Africa) ni JKN.

Alipo rudi nyumbani (tutakwenda wote)ikawa ni kula nchi hapa kwetu.

Majirani zetu!

Museveni, Kibaki, Arap Moi, Kaunda, Mugabe, Chiluba,Sam Nujoma na wengine zaidi wote walafi tu na wanaendelea kula.

Namuomba mungu amsaidie Muungwana asiwe hivyo.

Kama wanavyosema, nisikiavyo "time will tell"
 
Msoropa,
Naomba umwondoe mzee Kaunda kwenye kundi hilo. Unajua kwamba alipoondoka Ikulu hakuwa hata na nyumba ya kukaa? Ilibidi waziri wake wa zamani ampe nyumba. Huyu mtu mambo ya ucha Mungu yalimwingia sana kichwani.
 
Jasusi,

Pia Kaunda tume ya uchaguzi walimwambia mzee mambo mabaya, inabidi tubadili matokeo, yeye akasema hapana, kama wananchi wamenikataa, inatosha naondoka.

Kwa hilo kamzidi hata Nyerere ambaye kule Zanzibar alitudanganya kwenye uchaguzi wa yule rais fake ambaye alipata kura nyingi za NO.

Inabidi tujifunze kwa hawa wazee wetu waliotukomboa maana hawakuwa na ubinafsi.
 
Waungwana,
1. Hivyo tamaa ya kijilimbikizia mali za wizi kwa viongozi hushababishwa na nini? Au ulafi wa kupindukia unasababishwa na nini?
2. Kwa nini viongozi wengine waadilifu na wengine walafi?
3. Hebu fikiria Abacha kama Raisi aliiba Dola zaidi ya 3 billion! Hivi hizi pesa yeye alitaka kuzifanyia nini? Azitumie akimaliza kipindi cha uraisi? Hivi ukipewa dola billion 3 za wizi je utazifanyia nini?
4. Je ugonjwa huu unatibika?
Waungwana hayo maswali hapo juu mimi yananitatiza!
 
Msoropa,
Naomba umwondoe mzee Kaunda kwenye kundi hilo. Unajua kwamba alipoondoka Ikulu hakuwa hata na nyumba ya kukaa? Ilibidi waziri wake wa zamani ampe nyumba. Huyu mtu mambo ya ucha Mungu yalimwingia sana kichwani.

Did I say Kaunda? my bad.
Nilichemsha, Akhasante kwa kunikosoa.
 
Waungwana,
1. Hivyo tamaa ya kijilimbikizia mali za wizi kwa viongozi hushababishwa na nini? Au ulafi wa kupindukia unasababishwa na nini?
2. Kwa nini viongozi wengine waadilifu na wengine walafi?
3. Hebu fikiria Abacha kama Raisi aliiba Dola zaidi ya 3 billion! Hivi hizi pesa yeye alitaka kuzifanyia nini? Azitumie akimaliza kipindi cha uraisi? Hivi ukipewa dola billion 3 za wizi je utazifanyia nini?
4. Je ugonjwa huu unatibika?
Waungwana hayo maswali hapo juu mimi yananitatiza!

1.Nadhani ni tabia ya ubinafsi na ulafi wa kuwa tajiri mkubwa. Nadhani wako addicted hawa walafi wakishaiba milioni basi wanaona haiwatoshi wanataka bilioni.

2. Viongozi wasio walafi mfano JKN wana nia ya kweli ya kuwahudumia wananchi wao ili kuinua kiwango cha maisha yao na hatimaye ya nchi. Walafi wanakuja na mikono nyuma wanapoomba uongozi mara tu wanapoupata wanayatoa makucha yao kama Mkapa ili walimbikize asa much as possible wameshakuwa addicted na milioni sasa wanataka bilioni.

3. Pesa nyingi sana hiyo itabidi uigawe kwa ndugu, jamaa na marafiki ili na wao wale kuku kwa mrija. Hata kwa maisha ya ughaibuni bado ni pesa nyingi sana.

4. Tiba yake inapatikana jela tu! wakishafungwa wawili au watatu na mali zao walizozipata katika njia ya haramu kufilisiwa basi hakutakuwa na wagonjwa kama hao tena wote watashika adabu, lakini wakiiba mabilioni halafu waachiwe wapete basi kila mtu atajifanya ana ugonjwa huo...lakini usisahau bahati ya mwenzio.....
 
Hivi marais wa nchi nyingine wanatusaidia ninikwenye mjadara huu au ni for comparison!!!
 
Hivi marais wa nchi nyingine wanatusaidia ninikwenye mjadara huu au ni for comparison!!!

Kuna watu/mtu anayetaka kupunguza makali ya madongo kwa che-nkapa
kwa ku-divert issue
 
Back
Top Bottom